Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Kabisa...sasa mtoto wangu alie na mimi nilie kweli? Kinachobakia kwa sasa nikienda kwenye misiba hata ya watu ambao sio wa karibu sana naliaaaa nachanganya machungu yote...misiba ya ndg zangu waliotangulia zamani naiweka kwny akili napiga kilio kimoja kitakatifu ila cha kimya kimya nikitoka hapo mwepesiiii...
Safi kabisa.Ila nina ombi;Muwe mnawambia wale akina mama wanaochota maji na kukata kuni wawe wanajiunga nanyi walie kidogo.Kwani wao hulia saa ngapi?Msibani lazima tusikie mnalia ili kunogesha shughuli.
 
Wakati wenzetu Gang Z wanapambana huko Kenya, sisi Huku tunashauriana kulia lia kama matoto.
 
Hapa sio suala la kuwa evaluated..hapa ni kupata muda mzuri wa kumwaga uchungu..hofu..na mashaka kupitia machozi yako...hivyo ili hili litokee inabidi ubongo usiwe disturbed uwe na kazi moja ya kuchakata hisia za uchungu ili kuleta machozi yaweze kutoka nje na uchungu wote uondoke...
Kabisa
 
Utasikia na wanaume wanaunga mkono huu uzi
Tena nyie ndo mnatakiwa mlie Sana kuliko Sisi wanawake wanaume mnakumbana Na mengi Sana kwenye Maisha lakn Hua mnajikaza unakuta msibani hamliii mnaumia ndan ndani mwishowe mauchungu yanazidi mnakufa Mapema😟😟😟
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Hatimaye Leo nimegundua kulia Ni therapy nzuri Sana nlipatwa Na kipindi kigumu kilichoniumiza Sana nkawa najitahidi kukabiliana nashindwa.

Nikaingia room nikaangua kilio🤣🤣Kile kama cha mtoto nikalia Sana then nikanyamaza baada ya dakika chache nikakaa Sawa nikajisikia vizuri.

Mnapopatwa na magum ukiona limekulemea lia tu msiache kulia ndugu zangu lieni tu ni tiba pia
Labda kilio cha maumivu ya kuumia kuumia sio kuumia moyo kwa maana maumivu ya kuumia kuumia huwa yanafika mahala yanapungua ila kulia kisa kuumia moyo hata ukilia haisaidii kwa maana ukimaliza kulia tatizo lililokuliza bado litaendelea kuwepo na ukimaliza kulia unakuta linakukenulia meno tu like 😆😆😆
 
Machozi yagoma kutoka usisahau pilipili ya unga.
 
Hatimaye Leo nimegundua kulia Ni therapy nzuri Sana nlipatwa Na kipindi kigumu kilichoniumiza Sana nkawa najitahidi kukabiliana nashindwa.

Nikaingia room nikaangua kilio🤣🤣Kile kama cha mtoto nikalia Sana then nikanyamaza baada ya dakika chache nikakaa Sawa nikajisikia vizuri.

Mnapopatwa na magum ukiona limekulemea lia tu msiache kulia ndugu zangu lieni tu ni tiba pia

....................
Maoni ya Mshauri Afya ya Jamii na Kujimudu, Jiwa Hassan
👇👇👇

Kimsingi kulia ni jambo linalofungamanishwa na HISIA. Na mara zote si LAZIMA iwe ni huzuni tu hata katika Furaha ya dhati huwa tunatokwa na machozi. Na hii utaiona Kwa wanyama wote kwani wao pia wana HISIA na matamanio ndiyo maana unaweza kumuona Tembo anatokwa machozi na anamuokoa MTOTO wake shimoni.

Kulia ni NAMNA Bora ya kupunguza shinikizo la HISIA hasi NDANI yetu pia kwani ni moja ya njia za kutokusanya majeraha ya HISIA. Hii husaidia kemikali za msongo kupunguzwa(stress chemicals) na zikaletwa zile za Furaha (endorphins). Hapa sasa mapigo ya moyo yatakuwa sawa na Ari ya kutenda inarejea.

Kutokwa machozi huleta u-sumaku wa HISIA endapo wapendanao wakikumbatiana Kwa Furaha ya dhati nadhani unaweza kuiona Kwa mama na MWANAYE.

Hivyo Kwa ujumla wacheni tuyaruhusu machozi kutoka. Usiikusanye HISIA NDANI YAKO. Kama ni huzuni achilia nishati hasi hii itoke na kama ni Furaha iruhusu nishati hii chanya itawale Lakini usikithirishe kwani lolote likizidi ni ishara ya changamoto za afya ya AKILI
HAKIKA KABISA ninaamini mchanganuo wangu huo umeeleweka. Yoyote mwenye swali karibuni
 
Sijui wengine, mimi napenda kulia sana. Nione live au kwenye mtandao mtu anasaidiwa najikuta nalia, mtu anaelezea magumu yake nalia. Nina furaha nalia, nina bad day ninalia. I'm so emotional 🥲
Kuna aina ya kilio kama hakipo kwenye hio orodha.
 
Back
Top Bottom