Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Miss Maria naomba unisaidie namba yako unishauri jinsi ya kulia
 
Hatimaye Leo nimegundua kulia Ni therapy nzuri Sana nlipatwa Na kipindi kigumu kilichoniumiza Sana nkawa najitahidi kukabiliana nashindwa ....nikaingia room nikaangua kilio🤣🤣Kile kama cha mtoto nikalia Sana then nikanyamaza baada ya dakika chache nikakaa Sawa nikajisikia vizurii....mnapopatwa Na magum ukiona limekulemea lia tu msiache kulia ndugu zangu lieni tuu Ni tiba pia
Nilipoanzisha hapa Uzi last week kuwatakeni muwe mnalia hata mara moja tu kwa Mwezi si mliniona Mimi ni Muongo?
 
Binafsi nimeshalia sana nikiwa peke yangu nikihakikisha hakuna anayeniona.

Unajifungia ndani au chooni unaliaa huku ukiyakumbuka hanayokusibu na machozi yanakutoka.

Then ukitoka nje unakuwa unao uwezo wa kuyakumbuka yale mambo na machozi yasikutoke kwa sababu tayari ulishalia.

Ila kujikazakaza unaweza kulia mbele za watu burebure.
 
Miss Maria naomba unisaidie namba yako unishauri jinsi ya kulia
Kabisa.Maana kulia ni fani tosha.Kuna uliaji wake kulingana na uzito wa tukio.Kuna kulia kwa kwikwi,kwa sauti ya chinichini na kulia kwa sauti ya juu huku unatamka kila neno likuijialo kichwani kama unanena kwa lugha.Full ubunifu.
 
Evaluation team haitokuwekea viwango na alama stahiki.Jumuika usijitenge kama muhavi/mchawi.
Hapa sio suala la kuwa evaluated..hapa ni kupata muda mzuri wa kumwaga uchungu..hofu..na mashaka kupitia machozi yako...hivyo ili hili litokee inabidi ubongo usiwe disturbed uwe na kazi moja ya kuchakata hisia za uchungu ili kuleta machozi yaweze kutoka nje na uchungu wote uondoke...
 
Hapa sio suala la kuwa evaluated..hapa ni kupata muda mzuri wa kumwaga uchungu..hofu..na mashaka kupitia machozi yako...hivyo ili hili litokee inabidi ubongo usiwe disturbed uwe na kazi moja ya kuchakata hisia na uchungu ili kuleta machozi yaweze kutoka nje na uchungu wote uondoke...
Mna kazi sana ninyi wenye macho yenye machozi.
 
Umekua raia sugu.
Kabisa. Sasa mtoto wangu alie na mimi nilie kweli? Kinachobakia kwa sasa nikienda kwenye misiba hata ya watu ambao sio wa karibu sana naliaaaa nachanganya machungu yote, misiba ya ndg zangu waliotangulia zamani naiweka kwny akili napiga kilio kimoja kitakatifu ila cha kimya kimya nikitoka hapo mwepesiiii.
 
Back
Top Bottom