Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Safi kabisa.Ila nina ombi;Muwe mnawambia wale akina mama wanaochota maji na kukata kuni wawe wanajiunga nanyi walie kidogo.Kwani wao hulia saa ngapi?Msibani lazima tusikie mnalia ili kunogesha shughuli.
 
Wakati wenzetu Gang Z wanapambana huko Kenya, sisi Huku tunashauriana kulia lia kama matoto.
 
Kabisa
 
Utasikia na wanaume wanaunga mkono huu uzi
Tena nyie ndo mnatakiwa mlie Sana kuliko Sisi wanawake wanaume mnakumbana Na mengi Sana kwenye Maisha lakn Hua mnajikaza unakuta msibani hamliii mnaumia ndan ndani mwishowe mauchungu yanazidi mnakufa Mapema😟😟😟
 
Reactions: EEX
Labda kilio cha maumivu ya kuumia kuumia sio kuumia moyo kwa maana maumivu ya kuumia kuumia huwa yanafika mahala yanapungua ila kulia kisa kuumia moyo hata ukilia haisaidii kwa maana ukimaliza kulia tatizo lililokuliza bado litaendelea kuwepo na ukimaliza kulia unakuta linakukenulia meno tu like 😆😆😆
 
Machozi yagoma kutoka usisahau pilipili ya unga.
 
HAKIKA KABISA ninaamini mchanganuo wangu huo umeeleweka. Yoyote mwenye swali karibuni
 
Sijui wengine, mimi napenda kulia sana. Nione live au kwenye mtandao mtu anasaidiwa najikuta nalia, mtu anaelezea magumu yake nalia. Nina furaha nalia, nina bad day ninalia. I'm so emotional 🥲
Kuna aina ya kilio kama hakipo kwenye hio orodha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…