Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa,
Kinachonishangaza ni hizo sub zake zisizoeleweka, nimeshangaa Leo anamtoa Mpanzu aliekua na shoot on target 5 anamuingiza Mutale mchezaji ambae hajawai kuprove chochote uwanjani, sasa hiyo ni akili kweli?
Hebu naomba kunielewesha wataalamu wa mpira, hapo kocha alikua anafikiria nini?