Leo ndio nimegundua Simba hamna kocha pale

Leo ndio nimegundua Simba hamna kocha pale

Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa,

Kinachonishangaza ni hizo sub zake zisizoeleweka, nimeshangaa Leo anamtoa Mpanzu aliekua na shoot on target 5 anamuingiza Mutale mchezaji ambae hajawai kuprove chochote uwanjani, sasa hiyo ni akili kweli?

Hebu naomba kunielewesha wataalamu wa mpira, hapo kocha alikua anafikiria nini?
Pole kwa mateso unayopata...
Mateso uyapatayo hayajaipunguzia na wala hayataipunguzia points Simba.

Hahahaaa ushindi wa kubahatisha upo kwa timu yako unayoifundusha wewe
 
Mutale ashakuwa failure kwa mechi kariba 5 zilizopita,lakini sijui why kocha anamwingiza uwanjani maana kila mechi hana jipya,hafikishi pass,anapoteza mipira,hana assist,hana goli ,mtu kama huyo wa kazi gani kumwungiza na timu haina hata goli.
Na kama unakumbuka jkt Tanzania hawajaruhusu goli kwenye match takribani Tano nyuma, kwahiyo Moja Kwa Moja game ilikua tough, fadlu sijui anafikiria nini yeye akamuingiza mchezaji ambae Hana impact yoyote, hata kule Kagera, Yale magoli mawili ni kutokana na sub zake za kiwaki.
 
Unaona kabisa Mutale anapoteza mpira hivi hivi halafu wengine wanaanza kuutafuta upya,pass za hovyo,akitoa pass haifiki au anaweka sehemu ambayo mwingine hafiki,sometimes anakuwa mchoyo anadribble na kupoteza mpira,ni mcheza ambaye hapigi shuti goli ni kukokota tu mpira
 
Timu nzuri ni ile inayofikia malengo.
Malengo ni kukusanya alama 3 kwa kila mtanange. Mkufunzi amefanikiwa.

Sasa wewe utuambie ni nani bora kuliko Fadlu ili aje akusanye alama 5 kwa mtanange mmoja. Kama utashindwa, basi futa hii. Asante.
 
Timu bado hii,Wanashinda ila kwa mbinde kwl kama ulivosema japo wanajificha kwenye kivuli cha kushinda goli nyiingi kwa vibonde...Wapo mashabiki wa Simba watapinga ila angalia sana sana kipindi Cha pili timu ikikutana na watu compact Haina plan B.....

Mutale mm naona tu ana presha na watu wanataka matokeo ni either wenzie wamsaidie kumrudisha katika ubora kama Dube huku Yanga au kila siku watalalamika
 
Kahera kibonde..nyie mlimdunha moja na goli lao kukataliwa
 
Kahera kibonde..nyie mlimdunha moja na goli lao kukataliwa
Kagera,Ken gold,prison kwa kipindi hiki kabla ya usajili ni vibonde yes(Tunaangalia current performance)...Yanga alishinda 2 tofautisha mwanzo wa ligi na huku katikati mkuu ...Simba tupu hajawahi mfunga kagera kwake misimu mitatu ya mexime pale kaitaba unafahamu hilo
 
Kwaiyo Mpanzu Arjen Roben!! 😄😄Kwa hakika mmetisha.
Mwangalie gongowazi mwingine karukia mada bila kuelewa.Alikuwa anazungumzia kipara ndio akajibiwa umeshamuona Arjen Roben?Wacha kukurupuka baada ya kuvimbiwa na mihogo.
 
Back
Top Bottom