redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Kwaiyo kwa kipala kile unategemea aendelee kuwa na Nguvu kama mwanzo.Mpanzu alikua amechoka
Hii sub ilikua ni nzuri kama angekua ni yule Mutale anaepress kuanzia juu, mutale anaekimbia na mpira kuelekea eneo la mpinzani, kama angekua ni huyo mutale ambae tulimuona siku ya simba day na mechi kama tatu za ligi Simba ingepata penati mapema kabisa, mutale ndio kamfelisha kocha.
Sub sahihi kwa mechi kama hii ilikua ni Kibu denis aingie ila hatujamuona leo.
Miaka 22 ana upara, apa mbumbumbu fc mmepigwa😄😄