Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Hizi ndo zile matokeo ya mtu kumeza p2 na mimba haijatoka matokeo yake ndo vijana Kama nyie kichwani Bado Kuna p2
 
Hizi ndo zile matokeo ya mtu kumeza p2 na mimba haijatoka matokeo yake ndo vijana Kama nyie kichwani Bado Kuna p2
Huwa mtu anaongea kilichopo akilini mwake ndio uwezo wako wa kufikiri huo. Kaanze kufuatilia mtiririko wa mada sio unavamia treni kwa mbele .
 
Bi maza ni uchafu kama uchafu mwingine tu kainajisi sana bara mshenz yule
 

Kwa nyie Watu wa Zanzibar, hebu tuambieni huyu Abdul mtoto wa Samia , fani ya nishati hasa umeme alisomea lini na wapi? Imekuwaje ghafla anaonekana anaongoza jopo la watendaji wa Serikali na wafanyabiashara kwenda Uganda na kuonana na Rais Museveni kuhusu uwekezaji wa umeme ili kuwauzua Uganda?
 
Hii inafikirisha sana
 
 

Kwanini hivi sasa wasituuzie huo umeme wa Solar?
 
Tatizo lilianzia pale mtu anazaliwa na kupewa jina la maharagwe. Ndo maana Mambo yake anayofanya kindondo cup
 
Kwanini hivi sasa wasituuzie huo umeme wa Solar?
Si ukasome Article ndugu wao wamepeleka proposal ya kuzalisha umeme wa solar yaani kuanzisha project ya kuzalisha hizo 20Megawatt na kuwauzia waganda na watazalishia hapo hapo northern uganda labda walete na huku proposal maana hilo gazeti halijasema wameanza kuzalisha umeme naamini umeelewa nimekussomea hilo gazeti maana umekuwa mvivu wa kusoma ndio maana umeleta hoja dhaifu.
 
 
BEi itashuka?
Lengo la kuzima mitambo na kufungulia maji bwawa la Rufiji ni kutengeneza uhaba feki ili bei ibaki pale pale, kitu kikizidi tafsiri yake ni kwamba bei ni kubwa na inabidi ishuke ili kitumike kwa wingi zaidi ili kisibaki
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…