Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Ujinga ni mzigo kwa hiyo kampuni za kitanzania kwenda kuuza umeme ili kutuletea kipato nayo ni nongwa?

Yaani tayari ni ajenda ya kisiasa sisi masikini kama tunaweza kupata vya kuuza ili tujiingizie kipato ni jambo zuri sio tu kuuza mahindi na maharage.

Kama tunauza na umeme jambo zuri sana hata awe mtoto wa nani binafsi nasupport kampuni za kitanzania kufanya hivyo.

Sio kila siku zinakuwa tu kampuni za kigeni kufanya hivyo napongeza sana kampuni ya tanzania inayofanya hivyo.
Hizi ndo zile matokeo ya mtu kumeza p2 na mimba haijatoka matokeo yake ndo vijana Kama nyie kichwani Bado Kuna p2
 
Hizi ndo zile matokeo ya mtu kumeza p2 na mimba haijatoka matokeo yake ndo vijana Kama nyie kichwani Bado Kuna p2
Huwa mtu anaongea kilichopo akilini mwake ndio uwezo wako wa kufikiri huo. Kaanze kufuatilia mtiririko wa mada sio unavamia treni kwa mbele .
 
Bi maza ni uchafu kama uchafu mwingine tu kainajisi sana bara mshenz yule
 
1.) Umeme huo hautaonekana kwamba umetoka Tanesco, bali kuna dogo mmoja inadaiwa ni mtoto wa mama yetu, yeye kaongozana eti na maafisa wa Wizara ya Nishati ili azalishe umeme wa Solar na kuiuzia Uganda , 😂😂😂, kwamba umeme utoke Rufiji, mseme ni umeme jua wa huyo dogo? Halafu malipo yote alipwe yeye?!! 😂😂😂 , ujamja wa kizani sana huu...

Kwa nyie Watu wa Zanzibar, hebu tuambieni huyu Abdul mtoto wa Samia , fani ya nishati hasa umeme alisomea lini na wapi? Imekuwaje ghafla anaonekana anaongoza jopo la watendaji wa Serikali na wafanyabiashara kwenda Uganda na kuonana na Rais Museveni kuhusu uwekezaji wa umeme ili kuwauzua Uganda?
 
Kwa nyie Watu wa Zanzibar, hebu tuambieni huyu Abdul mtoto wa Samia , fani ya nishati hasa umeme alisomea lini na wapi? Imekuwaje ghafla anaonekana anaongoza jopo la watendaji wa Serikali na wafanyabiashara kwenda Uganda na kuonana na Rais Museveni kuhusu uwekezaji wa umeme ili kuwauzua Uganda?
Hii inafikirisha sana
 
 
Acha ujinga basi mtoa post si kasema wanaenda kuuza wa solar hao watu binfsi.

Ila kwa akili zake na hofu zake tu ndio anadhania utauzwa huu wa umma lakini pia na hata huu wa umma ikitokea mara zote kinachouzwa ni ziada siku zote wapi wamesema kuwa watauza kile kinachohitajika.

Halafu wananchi watakosa tusiwe watu wa ajabu ajabu kwa kuwa bwawa la rufiji tu likikamilika ukiacha hizo solar za watu binafsi linatosha umeme kutumiwa nchi nzima na ziada inabaki.

Achillia mbali vyanzo vingine vya umeme vilivyopo kwa hio hata ukiuzwa nje ni sawa kwa ziada itakuwepo labda tu useme ndani ya muda mfupi kuzaliwe miradi mikubwa mno ya kuhitaji umeme sana kuzidi huo uzalishaji na ndio ktk hili la rufiji Magufuli tutamkumbuka milele ni mradi mkubwa wenye manufaa ndani ya nchi kwa maana ya kupata umeme na nje ya nchi kwa maana ya kuuza.

Huwezi kuutoa bure kwa wananchi wakati kuna madeni na kuna mambo ya kimaendeleo nchi inataka.

Hatuna mjomba wa kutubeba lazima tuiingize kipata kwa hiyo nasupport kampuni binafsi kuzalisha wao na kuuza na pia nasupport kampuni ya umma kuzalisha na kuuza zote tu zinaleta kipato nchini tena fedha za kigeni uchumi ukue.

Kwanini hivi sasa wasituuzie huo umeme wa Solar?
 
Tatizo lilianzia pale mtu anazaliwa na kupewa jina la maharagwe. Ndo maana Mambo yake anayofanya kindondo cup
 
Kwanini hivi sasa wasituuzie huo umeme wa Solar?
Si ukasome Article ndugu wao wamepeleka proposal ya kuzalisha umeme wa solar yaani kuanzisha project ya kuzalisha hizo 20Megawatt na kuwauzia waganda na watazalishia hapo hapo northern uganda labda walete na huku proposal maana hilo gazeti halijasema wameanza kuzalisha umeme naamini umeelewa nimekussomea hilo gazeti maana umekuwa mvivu wa kusoma ndio maana umeleta hoja dhaifu.
 
 
BEi itashuka?
Lengo la kuzima mitambo na kufungulia maji bwawa la Rufiji ni kutengeneza uhaba feki ili bei ibaki pale pale, kitu kikizidi tafsiri yake ni kwamba bei ni kubwa na inabidi ishuke ili kitumike kwa wingi zaidi ili kisibaki
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom