Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Hizi ndo zile matokeo ya mtu kumeza p2 na mimba haijatoka matokeo yake ndo vijana Kama nyie kichwani Bado Kuna p2Ujinga ni mzigo kwa hiyo kampuni za kitanzania kwenda kuuza umeme ili kutuletea kipato nayo ni nongwa?
Yaani tayari ni ajenda ya kisiasa sisi masikini kama tunaweza kupata vya kuuza ili tujiingizie kipato ni jambo zuri sio tu kuuza mahindi na maharage.
Kama tunauza na umeme jambo zuri sana hata awe mtoto wa nani binafsi nasupport kampuni za kitanzania kufanya hivyo.
Sio kila siku zinakuwa tu kampuni za kigeni kufanya hivyo napongeza sana kampuni ya tanzania inayofanya hivyo.