Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.
Waache wapigwe hawa watoto akina ephen_ wana pesa za kichezea chezea hizo buku 2 au 3 kuchanga changa kwao sio issue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu cjui mna nn lakini.
 
Una akili sana chief.
Hata kujibadilisha bado hawezi, nimemgundua mapema tu toka post ya kwanza😁

Halafu amesoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii, aloooooooπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Unatuambia sisi ili iweje?

Unapoelekea unaenda kutiwa mimba na bodaboda.
Mshauri nae njaa kali,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tutafika tu bado kidogo, ila si tulikubaliana kwamba kila mtu humu ni Doni au mmeanza kusaliti chama
 
Una akili sana chief.
Hata kujibadilosha bado hawezi, nimemgundua mapema tu toka post ya kwanza[emoji16]

Halafu amesoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii, alooooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]

Usichoelewa hapo mkuu ni nini ni suala la wewe kuona nimefanya typing error
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…