Mahi tutafutee masponsaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjini bila sponsor hutoboi mahi [emoji23]
Jero jero tena kama ombaombaToa namba mwenye jero au buku akuchangie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie mnanichekeshaa bhana, aaahWatuma pesa nao wanaulizia lini daftari la wapiga kura linazinduliwa wakijishikize kuandikisha watu [emoji23] JF kibokoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani half cast koko kidney alikupigaaa? Usinambieee?Ahsante kwa kumbukizi ya mleta mada.
Humu kupigwa ni nje nje nikikumbuka nilipewa hadi namba ya kike na nikapiga simu nikaongea na mwanamke lakini kumbe ni mwanaume kaseti mchongo ili asiumbuke napata ukakasi sana.
Hii ID kuna kitu kinaniambia ni ya kidney.
Bby unataka kunicheat, really?Ni kweli ila maisha yanatupa hizo chaguzi
Yaani nimewaza leo kuna mtu anataka nikaishi nae au niende tu labda ugumu wa maisha utapungua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbinu anayotumia siyo, aongee na watu vzuri aelekezwe. WoiiiigHuyo lazima awe mwanaume, haha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF unaweza cheka na uzimie, unae muomba msaada kumbe ana shida kuliko wee.Hiyo namba leo labda azimishe huo usumbufu atakaopewa na majobless [emoji1787]
Bora hata yy ana kibarua
We kamwali njoo unitoe tongo tongo . Mnaendeleaje ya jamii imefika lini hapa tz?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimsaidia mkaka wa watu, daah ila wanaume wanapitia magumu jamaniiii.Umekumbuka nini au mafisi yalikutenda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii wee mahii ulikopa Songesha au Timiza?Asanteni wote mlionitumia nashindwa ku wajibu line yangu inadaiwa nikijiunga tu wanakata hela yao
Sijaielewa hiyo course ππUsichoelewa hapo mkuu ni nini ni suala la wewe kuona nimefanya typing error
Ila kama umeandika haya kwa ajili ya kuwahadaa watu kwa sababu unazozijua wewe,basi Mungu ataingilia kati
Oiyeyai. Kumbe njia ya muongo ni fupi. Hatoweza kukujibu.πππ Hii course imefika lini Tz
Najua kwa Diploma iko, na sio UDSM anaposema.We kamwali njoo unitoe tongo tongo mwznio. Mnaendeleaje ya jamii imefika lini hapa tz?
Ili nijiunge na hiyo course natakiwa niwe nimesoma masomo gani?
Na tafsiri halisi kulingana na muktadha wa mleta mada? Nimekumiso zaidi mtoto mzuri!!Kudanga,,,mfano Mtu kavuna shamba lake la mahindi au mpunga,Kuna wale wavivu wa Kijiji wanapita nyuma kukusanya kusanya mabaki ,hiyo ndio asili ya neno kudanga......Nimekumiso
Mwongo mwongo sana.ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbinu anayotumia siyo, aongee na watu vzuri aelekezwe. Woiiiig
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii wee mahii ulikopa Songesha au Timiza?
Woiiiiiih