Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Mafisi wameona ni mtoto wa kike wameanza kushoboka [emoji1787][emoji1787]pambana binti no retreat no surrender....
Ukiwa kipindi cha njaa na shida usitafute kaz za ofisii za kuning'iniza miguu tafuta kazi za hali yako jiegeshe kwa mama ntilie wawili mmoja piga parttime asbh had mchana jion kuna wale wanapanga meza road hukosi buku8 jion hapo unarud nyumbn umeshiba na ukoko unabeba wa kulalia...AKILI KUMKICHWA
mimi niwakiume ila nilishafnya kazi ya uhudumu restaurant jion narudi geto na buku4 chumvi ikikaa vibaya usiku napita nayo mafuta yskibak kidogo namimina kwenye chupa kama kipanga tena yule bi mkubwa mwenye restaurant alinikubali sana nilikuwa nafanya kazi kwa passion kubwa siku nyingine nlikuwa namlilia shida kama utani ananiongeza buku la nauli narudi na buku5 hapo nimeshiba full tank
POLE SANA NDUGU
#ALUTA CONTINUAL
 
Ahsante kwa kumbukizi ya mleta mada.

Humu kupigwa ni nje nje nikikumbuka nilipewa hadi namba ya kike na nikapiga simu nikaongea na mwanamke lakini kumbe ni mwanaume kaseti mchongo ili asiumbuke napata ukakasi sana.

Hii ID kuna kitu kinaniambia ni ya kidney.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani half cast koko kidney alikupigaaa? Usinambieee?
 
Hiyo namba leo labda azimishe huo usumbufu atakaopewa na majobless [emoji1787]
Bora hata yy ana kibarua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF unaweza cheka na uzimie, unae muomba msaada kumbe ana shida kuliko wee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kamwali njoo unitoe tongo tongo . Mnaendeleaje ya jamii imefika lini hapa tz?
Ili nijiunge na hiyo course natakiwa niwe nimesoma masomo gani?
 
Kaka yako anataka kukufundisha vitu 3. Najua atakupa nauli ila lazima ujifunze.
1. Kwanza anataka kukufundisha nidhamu. Ili ukipata hicho kimshahara chako kidogo ujue namna ya kupangilia matumizi.
2. Anataka kukufundisha kujiongeza. Kwa mfano kwenda kwa mwajiri wako uumpe situation ilivyo ili akupe advance. Au ukope kwa mfanyakazi mwenzako etc. Yaani kutumia mbinu za kivita kutatua changamoto.
3. Anataka kufikisha ujumbe kuwa misaada ina mwisho. Usiishi kwa kutegemea nina kaka au kuna fulani atanisaidia.

Options
1. Mpigie tena kaka yako, omba usaidiwe tu mwezi huu wa kwanza. Na kwamba baada ya hapo utaweza kujitegea.

2. ongea na mwajiri wako mpe situation. Ni kawaida kwa mwajairi kutoa hela ya kuanzia ku-m boost mwajiriwa mpya aweze kutimiza majukumu yake. Ongea naye atakusaidia.
 
Kudanga,,,mfano Mtu kavuna shamba lake la mahindi au mpunga,Kuna wale wavivu wa Kijiji wanapita nyuma kukusanya kusanya mabaki ,hiyo ndio asili ya neno kudanga......Nimekumiso
Na tafsiri halisi kulingana na muktadha wa mleta mada? Nimekumiso zaidi mtoto mzuri!!
 
ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.
Mwongo mwongo sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbinu anayotumia siyo, aongee na watu vzuri aelekezwe. Woiiiig

Nipe basi hiyo mbinu mpenzi maana sikuwa na shida ya mchango niliomba ushaurii tu watu wakapendekeza nichangiwe
 
Back
Top Bottom