Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Pls nitumie namba yako nitafanya kadri ya uwezo wangu
 
Kuna ile nyimbo ya gospel ya abiudi misholi inasema nimebaki peke yangu......wakati mdogo nilikuwa siielewi ila tangu niwe mkubwa najitambua ile nyimbo ndio nimeielewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…