Acha nongwa, tunatuma na ya kutolea😅Mbona hiyo iko wazi sema anawaingiza kwenye mfumo wajae, pesa na baridi hii apewe na nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha nongwa, tunatuma na ya kutolea😅Mbona hiyo iko wazi sema anawaingiza kwenye mfumo wajae, pesa na baridi hii apewe na nani??
Ulijua watu wanamwaga pesa nje nje 😂Hapa JF ndo wakat huo mgeni mgeni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan full manjegekaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiihHumu wa kutuma pesa hayupo ni kuchoshana na msg za uko mkoa gani? As if yy mwenyewe yupo Ulaya [emoji1787]
Nshawekaaa!!! Em tuma bhana.We muongo mbona haipo
Nimekaa pale 👉 zikitumwa 🤣Acha nongwa, tunatuma na ya kutolea😅
Naaaam!!!Oyaaaa
🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiih
ni hatari ila tushamjua.100% ni kidney. Hiyo namba anaitumia sana.
Au “Hiyo avatar ni wewe”? Yani maswali ya kuchoshana tu.Maswali mengi kama upo kwenye interview 🤣
😂 ngoja nijifanye kama napiga yope hivi, kama simuoni vile jirani yangu niliemmisi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimia kwenye gia.
Ndo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nijifanye kama napiga yope hivi, kama simuoni vile jirani yangu niliemmisi sana.
Rudia kusoma comment yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani huyooo?
Msamilie bhana, nisaidie kumpa hili (😘)Ndo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23]
Jicho la upako et eeh aunt nisije nikachanganya madesa 😀Shangaziiiii nimekumic piaaa!!
Mbona yupo, em kuwa na jicho la ndani utamuonaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafute quote , nimeshafuta yanguNdo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23]
Usijekufanya watu warudishe miamala bure 😂Mjumbe hauwawiii!!!
Kwa hisani ya wafukua makaburi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2986177