Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Inawezekana nimekuwa emotional kidogo kwasababu kamwe sijawahi kuwa wala kufikiri kama mwanamke, ila maneno yako yanfikirisha sana.
Tatizo wasema ukweli tunachukiwa, mwanamke hata amiliki mamilioni lazima ataitaka na pesa ya mwanaume.
Hatuwezi kubadili nature yetu asikudanganye mtu
 
Reactions: 511
Panga geto la bei rahisi mfano elfu 30 hivi maeneo ya karibu na unapofanyia kazi uwe unatembea kwenda na kurudi utaweza kusave hela ya nauli then tafuta shughuli ya kufanya katika muda wako wa ziada ili kujiongezea kipato mfano unatoka kazini saa 11 jioni unaweza ukafungua hata grocery maeneo ya karibu maana iyo ndio mida ya wamwagilia moyo au unaweza kusogea sehemu yenye mkusanyiko wa watu mfano stand ukauza mazaga zaga ya kuku wa kukaanga kama vipaja, shingo, firigisi n.k
 
ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.
Mbona huwa wanasema humu jf ukishaandika Uzi huwa haufutiki mpaka ma moderator waufute?
 
Bas sorry mahiii, mie nimepewa niiweke humu.
Ndo maan nilisema "mjumbe hauwawi". [emoji120][emoji120]

Yeah tunaishi na majirani hapa hatujui Kama na wao wapo Jf au ukute bro wangu yupo humu sasa nikitaja kila kitu si atajua ni mimi mwisho wa simu inakuwa ni lawama so kuna baadhi ya taarifa nazimodoa Kama nakaa kawe nafanya kazi chanika basi natafuta umbali wa kufanana nabadilisha eneo…
 
Sasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
Nature yenu kupokea mwili wa bwana😢!
 
Kwa hiyo mpenzi wako hawezi kukusapoti jamani..
 
Sijapinga kusaidia watu na wapo watu humu pia hata mimi nishawafata PM nikawachangia kwenye uzi zao waliozileta kulia shida, (watakuja kueleza hayo kwa muda wao wakijiskia) ila authenticity ya story ya muhitaji ina namna yake haikuachi na question marks, unajikuta unatoa bila maswali ila hawa janja janja za brother sijui bro nyingi kwenye uzi, hakuna kitu.
 
Hata kaka yako hupaswi kumjudge. Akisema hana hela muelewe. Huwezi jua anapitia mangapi. Ukizingatia anafamilia. Hata anavyokwambia ujitaftie, usidhani anasema kutoka moyoni. Pengine roho inamuuma ila ndo hana cha kufanya zaidi ya kukuhimiza upambane. Muonee huruma kuliko kumchukia. Maisha ni magumu sana ndugu zangu.
 
Tatizo wasema ukweli tunachukiwa, mwanamke hata amiliki mamilioni lazima ataitaka na pesa ya mwanaume.
Hatuwezi kubadili nature yetu asikudanganye mtu
Siyo wote lakini, nimekuwa na mwanamke hajali kabisa pesa, yeye anajali uwepo, ile mwanaume kuongoza na kuweza kutatua changamoto (ku fix gari, computer, washing machine n.k)
 
Me hapa siondoki ili niokoe watu wema ambao unataka uwaibie.

Sawa basi endelea kushusha povu na usilolijua Kuna watu humu tumeshaonana kwa macho wanakushangaa tu unavokaa kubishana


Endelea mkuu ukichoka utalala
 
Nafikiri kuna watu wa kuweka nao ligi sio peaky blinders.
Ukija na maneno ya shombi, nagawa mapigo kwa wastani.

Mimi hainishtui ndugu Hakuna jipya hapo.. wewe endelea kupoteza muda wa kujibizana uache kulala
 

Bado sijaanza kupokea hela
 
Ndio huyo huyo, ndio uone sasa uhalisia ninaosemea kuhusu wanawake, kule si uliingia mkenge ukamuona wife material
Thread hii na ile zina contents tofauti kwaiyo hata mbinu za kukabiliana na situation husika lazima ziwe tofauti. Angeonekana wa ajabu kama angekua na mawazo tofauti katika thread moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…