Nafikiri kuna watu wa kuweka nao ligi sio peaky blinders.Sawa babu vipi umelizika? Au bado unashusha povu
Ukija na maneno ya shombi, nagawa mapigo kwa wastani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri kuna watu wa kuweka nao ligi sio peaky blinders.Sawa babu vipi umelizika? Au bado unashusha povu
Tatizo wasema ukweli tunachukiwa, mwanamke hata amiliki mamilioni lazima ataitaka na pesa ya mwanaume.Inawezekana nimekuwa emotional kidogo kwasababu kamwe sijawahi kuwa wala kufikiri kama mwanamke, ila maneno yako yanfikirisha sana.
Panga geto la bei rahisi mfano elfu 30 hivi maeneo ya karibu na unapofanyia kazi uwe unatembea kwenda na kurudi utaweza kusave hela ya nauli then tafuta shughuli ya kufanya katika muda wako wa ziada ili kujiongezea kipato mfano unatoka kazini saa 11 jioni unaweza ukafungua hata grocery maeneo ya karibu maana iyo ndio mida ya wamwagilia moyo au unaweza kusogea sehemu yenye mkusanyiko wa watu mfano stand ukauza mazaga zaga ya kuku wa kukaanga kama vipaja, shingo, firigisi n.kHapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
Mbona huwa wanasema humu jf ukishaandika Uzi huwa haufutiki mpaka ma moderator waufute?ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.
Bas sorry mahiii, mie nimepewa niiweke humu.
Ndo maan nilisema "mjumbe hauwawi". [emoji120][emoji120]
Nature yenu kupokea mwili wa bwana😶!Sasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
Kwa hiyo mpenzi wako hawezi kukusapoti jamani..Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
Sijapinga kusaidia watu na wapo watu humu pia hata mimi nishawafata PM nikawachangia kwenye uzi zao waliozileta kulia shida, (watakuja kueleza hayo kwa muda wao wakijiskia) ila authenticity ya story ya muhitaji ina namna yake haikuachi na question marks, unajikuta unatoa bila maswali ila hawa janja janja za brother sijui bro nyingi kwenye uzi, hakuna kitu.JF kama community; unashauri tufanyeje ili mtu mwenye uhitaji na ameona hii ni sehemu sahihi ya kusaidika asaidike?
We unashaurije rafiki, zamani tumechangia watu humu... mpaka zilipokuja zama za uhalifu na utapeli, Je tufanyeje?
NB. Hakuna community ambayo watu hawachangiani, huko kwenye magroup ya WhatsApp, insta na kwingineko wanachangiana, Jamii ya kiafrika bado vitu vidogo kama nauli, chakula na malazi ni struggle kwa wengi, na binafsi naelewa mtu akisema hana mtu wa karibu wa kumshika mkono, It might be different kwa mimi na wewe, tukawa na backup zetu za kutukwamua wakati wa majanga, ila trust me 60% ya waTz hawana, when man down, then a man is completely down...
Pole dada Usivunjike moyoMpenzi kazi ndio naanza hata kulipwa bado ndio nawaza naendaje kazini
Hata kaka yako hupaswi kumjudge. Akisema hana hela muelewe. Huwezi jua anapitia mangapi. Ukizingatia anafamilia. Hata anavyokwambia ujitaftie, usidhani anasema kutoka moyoni. Pengine roho inamuuma ila ndo hana cha kufanya zaidi ya kukuhimiza upambane. Muonee huruma kuliko kumchukia. Maisha ni magumu sana ndugu zangu.Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
Siyo wote lakini, nimekuwa na mwanamke hajali kabisa pesa, yeye anajali uwepo, ile mwanaume kuongoza na kuweza kutatua changamoto (ku fix gari, computer, washing machine n.k)Tatizo wasema ukweli tunachukiwa, mwanamke hata amiliki mamilioni lazima ataitaka na pesa ya mwanaume.
Hatuwezi kubadili nature yetu asikudanganye mtu
Ndio huyo huyo, ndio uone sasa uhalisia ninaosemea kuhusu wanawake, kule si uliingia mkenge ukamuona wife materialSikumbuki vizuri user name, unataka kusemaje?
Cocastic kala ban tayari, hahahaTatizo wasema ukweli tunachukiwa, mwanamke hata amiliki mamilioni lazima ataitaka na pesa ya mwanaume.
Hatuwezi kubadili nature yetu asikudanganye mtu
Me hapa siondoki ili niokoe watu wema ambao unataka uwaibie.
😂 kimekusibu nini tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asha hamishia line ingne mda,
Nafikiri kuna watu wa kuweka nao ligi sio peaky blinders.
Ukija na maneno ya shombi, nagawa mapigo kwa wastani.
Panga geto la bei rahisi mfano elfu 30 hivi maeneo ya karibu na unapofanyia kazi uwe unatembea kwenda na kurudi utaweza kusave hela ya nauli then tafuta shughuli ya kufanya katika muda wako wa ziada ili kujiongezea kipato mfano unatoka kazini saa 11 jioni unaweza ukafungua hata grocery maeneo ya karibu maana iyo ndio mida ya wamwagilia moyo au unaweza kusogea sehemu yenye mkusanyiko wa watu mfano stand ukauza mazaga zaga ya kuku wa kukaanga kama vipaja, shingo, firigisi n.k
Thread hii na ile zina contents tofauti kwaiyo hata mbinu za kukabiliana na situation husika lazima ziwe tofauti. Angeonekana wa ajabu kama angekua na mawazo tofauti katika thread moja.Ndio huyo huyo, ndio uone sasa uhalisia ninaosemea kuhusu wanawake, kule si uliingia mkenge ukamuona wife material
sijawahi kuwa mjanja 😂We nawe umepigwa kizembe na kidney, nilijua mjanja kumbe hamna kitu ndugu yangu 😂