Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Peaky blinders hajawahi ibiwa na boya kama wewe hapa jf.
  • nilikuumbua watu wakakujua na kutoa shuhuda zao hapa hapa jf.
  • Hata Savanna 4 ulizoomba nilikunyima
-Uliomba elfu 10 uunge bando nikakunyima
Acha huu ujinga kaka.

Mkuu vipi una uhakika tukienda mahakamani utakuwa na ushahidi na hizi tuhuma au una ropoka uonekane mjuaji

Lala tu bro achana na kuwa mjuaji hatufahamiani
 
🤣🤣🤣
 
Mkuu vipi una uhakika tukienda mahakamani utakuwa na ushahidi na hizi tuhuma au una ropoka uonekane mjuaji

Lala tu bro achana na kuwa mjuaji hatufahamiani
Chagua mahakama
Chagua muda
Chagua hakimu
Chagua shahidi
Nauli ya bolt nitakutumi mimi.
Karibu sana kaka
 
Jadda ebu njoo taratiiiiibuu! Tusipangiane cha kukoment sawa? Halafu em nipotezee kabla sijakukaanga.
Mtoa post kasema issue ya wadada kudanga na mimi nimetoa ushauri wangu, wa kufata ni yeye sio wewe!! Acha shobo km unataka kuniongelea nendeni pm.
 
Well, namna nzuri ni kwamba apatikane mtu ambae yupo tayari anonymity yake ijulikane, awe ndo anafatilia hizo taarifa na awe mtoaji mzuri pia. Lengo ni hili yeye awe anafanya cross-check zote za watu wenye uhitaji wa kuchangiwa humu kutokana na uzi zao watakaokuwa wanazileta. Best way ya kumpata ni yeye mwenyewe ajitolee kwamba i will be doing so and so watu wajue tu kwamba he/she is ready and will be there. Nadhani kina Malissa pia walianza hivyo. Mtu mwenyewe awe na msukumo binafsi.
 
Ndio huyo huyo, ndio uone sasa uhalisia ninaosemea kuhusu wanawake, kule si uliingia mkenge ukamuona wife material
Kwani km mnatakana si mkamalizane pm? Hebu kaa utulie nini unahangaika km umekalia kaa la moto?
We feminine uchwala nini mbaya?
 
Chagua mahakama
Chagua muda
Chagua hakimu
Chagua shahidi
Nauli ya bolt nitakutumi mimi.
Karibu sana kaka

Nataka Melo awepo mjulishe kwanza na tukubaliane utanilipa

Maana unanichafua mtãndaoni Mimi ni tapeli na sijawah kutapeli mtu
 
Reactions: 511
Peaky blinders hajawahi ibiwa na boya kama wewe hapa jf.
  • nilikuumbua watu wakakujua na kutoa shuhuda zao hapa hapa jf.
  • Hata Savanna 4 ulizoomba nilikunyima
-Uliomba elfu 10 uunge bando nikakunyima
Acha huu ujinga kaka.
Weeeeeeeh sema kweli.
 
Thread hii na ile zina contents tofauti kwaiyo hata mbinu za kukabiliana na situation husika lazima ziwe tofauti. Angeonekana wa ajabu kama angekua na mawazo tofauti katika thread moja.
Huyo anakupenda anashindwa kukwambia, emu malizaneni aache kushtuka na mimi. Naona kanikalia kooni hafu simjui!💀
Ni nani kwani?
 
Ishu siyo content ya thread ishu ni mtazamo alioko nao kichwani kwake, kwahiyo solution ya kukabiliana na hiyo situation ni kudanga mbona wanawake wenzie wengi hawajamshauri hivyo
Ilo ndio suluhisho la wanawake wa mjini ndio maana akaongezea kwa kusema hata hao wanaomshauri avumilie nao wamewapanga masponsor
halafu na wewe si huwa uko against wanawake wanaodanga au umeshindwa kupambana nao umeamua kuungana nao tu
Sipo against na wanawake wadangaji ni wewe ndio huwa haunielewi

msimamo wangu ni kwamba mwanamke akiamua ngono iwe biashara au namna ya kujipatia kipato kutoka kwa mwanaume basi aweke wazi kuanzia mwanzo tukubaliane bei twende geto tukamalizane, kesho na keshokutwa akiishiwa gesi,kodi,luku, akitaka hela ya kusuka n.k hayo mimi hayanihusu kwa sababu siku tulilala pamoja nilishamlipa ujira wake

na kama mwanamke anataka kuingia kwenye meaningful relationship basi pesa isitumike kama compensation ya mwanaume kupewa mapenzi, mwanamke atawajibika kujitimizia mahitaji yake na sio kumbebesha izo gharama mwanaume. tumeamua kuwa wapenzi basi tupeane mapenzi sio hela
 
UKOTAYARI uje uishi kwangu ila usafi ndo kipaumbele ,usafi wanyumba ili upunguze gharama za nauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…