Asante sana kwa point hii. Wadada wengi watamuambia avumilie tu atafika, lakini hawatamuambia;
1. avumilie akiwa unaishi kwa nani. Siku akitimuliwa itakuwa mbaya zaidi.
2. avumilieje akiwa hana nauli na wala hajui huko kazini kupya anakwendaje
3. Na wala hawatamwambia ukweli kuwa wanayasema hayo huku wao wana masponsa wanaowalipia kila kitu, hadi pango.
Ukweli ni kwamba, huu uzi wa
kadogo2 umebeba ujumbe mzito sana. Kwenye kufikiria atakwendaje kazini, akitokea mwamba akampa msaada bila kumuomba kunyanduka, tena msaada wa muda mrefu, (say mmiaka miwili), baada ya muda huo kupita, nature itachukua mkondo wake. Na nature yenyewe ni kuwa huyu
kadogo2 atataka kulipa fadhila..!! Hapo ndo huwa mwanzo wa kudanga.
CC.
kadogo2