Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Mbona muandiko wa kiume🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake km hao tumebaki wawili mimi na huyo mpenzi wako 😜Wanawake wengi wanapenda superficial things, ila wapo walio wa kweli, kuwapata wa aina hiyo ni kitimtim.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UKOTAYARI uje uishi kwangu ila usafi ndo kipaumbele ,usafi wanyumba ili upunguze gharama za nauli
[emoji23][emoji23][emoji23]Coca kala umeme bado wawili
DUNIA MAPITO ,kusaidiana muhimu na ndo furaha yangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa.DUNIA MAPITO ,kusaidiana muhimu na ndo furaha yangu.
Attention seeker.Wapi sasa nimemtapeli mtu ndugu au Kuna sehemu niliomba hela wakanitumia
Una mihamko bro
Oohh kwahiyo unategemea mwanamke ambaye ana mawazo ya kidangaji ndio atakuwa mshauri mzuri wa wanawake kwenye masuala ya ndoa, yani mtu anayewaza kuwa mwanamke ameumbwa kupewa na siyo kutafuta na ni lazima awe na sponsors ndio unategemea mkiingia kwenye ndoa atakusaidia majukumu yako, basi naendelea kupata majibu ya maswali yangu ya kwanini mnapigwa na mtaendelea kupigwa kwenye hizo ndoa kila sikuIlo ndio suluhisho la wanawake wa mjini ndio maana akaongezea kwa kusema hata hao wanaomshauri avumilie nao wamewapanga masponsor
Sipo against na wanawake wadangaji ni wewe ndio huwa haunielewi
msimamo wangu ni kwamba mwanamke akiamua ngono iwe biashara au namna ya kujipatia kipato kutoka kwa mwanaume basi aweke wazi kuanzia mwanzo tukubaliane bei twende geto tukamalizane, kesho na keshokutwa akiishiwa gesi,kodi,luku, akitaka hela ya kusuka n.k hayo mimi hayanihusu kwa sababu siku tulilala pamoja nilishamlipa ujira wake
na kama mwanamke anataka kuingia kwenye meaningful relationship basi pesa isitumike kama compensation ya mwanaume kupewa mapenzi, mwanamke atawajibika kujitimizia mahitaji yake na sio kumbebesha izo gharama mwanaume. tumeamua kuwa wapenzi basi tupeane mapenzi sio hela
Huu mwandiko wakiume, trust me😳Wapi sasa nimemtapeli mtu ndugu au Kuna sehemu niliomba hela wakanitumia
Una mihamko bro
😂😂😂 dahh nimejikuta nacheka tu brother, sikujua na wewe ni Jeiefu masijalaNiwakumbushe tu ndugu wajumbe huyu mleta mada alishwah kuja na uzi wa kusema amechoka kuwa SIDE CHICK anataka kuwa MAIN CHICK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23] wewe unatafuta huruma kwa jamii kwasabab za kipumbavu kabisa, unapokea mshahara 250k unasema una maisha magumu? Wakat kuna watu wana familia wanalipwa 100k na hawajawah kukosa kwenda kazin... Wewe sema unataka kujiingiza ktk umalaya, shauri yako utatombw[emoji23] uzalishwe uongoze idadi ya singo maza, uanze kuita wanaume wote mbwa wakat wew ndio mbwa koko...
Unalipwa 250k halafu huna akili unanunua chakula kilasiku kazini 2,000 [emoji23][emoji28][emoji28] wee mpuuzi si jipikie nyumban vitafunwa ambavyo haviharibik ukifika kazini unakula asubuhi na mchana... Au beba kiporo utakula kazini...
Kuna watu wanafanya kazi maofisi makubwa yana mshahara mkubwa ila wanabeba chakula kutoka nyumban, wewe tatzo lako unataka kuishi kisista duu...
Nakuambia ukweli mchungu mimi sitafuni maneno, binti utatombw[emoji28] hadi K ibaki inaning'inia kama lapulapu au dekio... Tumia akili usitumie matako kufikiri
acha kumshauri mwenzio vibaya. Hana tabia hiyoTafuta sponsor wa usafirishaji, wa nywele, wa kodi na kukutoa out weekend. Unakaaje kizembe town.
Mimi najadili hoja simjadili mtoa hoja kama hoja aliyoileta ina mantiki nitakubaliana nae huo udangaji wake atajijua mwenyewe. Mwanamke akiniambia sio busara kwa mwanamke mzima wa afya kumtegemea kila kitu mwanaume hapo nitakubaliane na hii haimaniishi ya kwamba kama yeye anaishi kinyume na anachokiongea nitakubaliana nae na uko pia. Maneno ni yatahukumiwa tofauti na matendo yatahukumiwa tofautiOohh kwahiyo unategemea mwanamke ambaye ana mawazo ya kidangaji ndio atakuwa mshauri mzuri wa wanawake kwenye masuala ya ndoa, yani mtu anayewaza kuwa mwanamke ameumbwa kupewa na siyo kutafuta na ni lazima awe na sponsors ndio unategemea mkiingia kwenye ndoa atakusaidia majukumu yako, basi naendelea kupata majibu ya maswali yangu ya kwanini mnapigwa na mtaendelea kupigwa kwenye hizo ndoa kila siku
Kila mtu na mtazamo wake neno langu sio sheria upo nyonyoacha kumshauri mwenzio vibaya. Hana tabia hiyo