Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Sasa hana bill ya maji? ya Umeme? vp hapo nyumbani hajipikii? kama amepanga vp kodi ya pango halafu umesahau bando au hapigi cm? Ke wana mahitaji nyeti kila mwezi "mshahara" hilo unaliwekaje kwa mfano au
Akianz kutafuta nahitaji mengi wakt hakun mazngr ya kipato ata kitembeza sana, inabd awe na basic tuu chumba na chakula
 
Ndio mimi nimeomba ushauri, sote kwa pamoja tuwaze namna nzuri ya kucross check kama waomba misaada wanahitaji kweli msaada, either kupitia kwa wenye jamii forums au any verified figures wa humu (kama walivyo akina Malisa kule insta) kusudi wenye kuomba msaada basi wapate msaada, na watoa msaada watoe kwa kujua pesa yao inagusa hitaji la mtu.

Naelewa kuwa hata mtu awe na pesa nyingi kiasi gani hatapenda kumpa mtu muongo/tapeli. Binafsi kuna kakijana humu kalisema kama mke amejifungua na kazi imesimama, hawana hata hela ya chakula, nikafikiria njaa inavyouma wakati wa kunyonyesha ngoja nichangie mwanamke mwenzangu apone, looh! Hako kakijana kalikuja kuumbuliwa humu kuwa kana uraibu wa kubeti, hakana mke wala mtoto wa mchanga! What a waste..

Naelewa changamoto za utapeli, lakini humo humo kuna wenye shida kweli, hatuwezi kumaliza matatizo ya watu ila tunaweza kuelevate situations hata kwa masaa kadhaa.

Sijasema huyu achangiwe, namaanisha JF kama Community tunaweza kupata namna nzuri ya wenye uhitaji kusaidiwa.
Ulikatumia hako ka kijana bei gani?🤣
 
Kwa hiyo wewe mpenzi wako akishindwa kukusapoti kwa situation fulani unaachana nae na kutafuta mwingine? Huu si ndio udangaji wenyewe sasa?
Hao ni wadangaji na ukweli ndo huu 80% wanadanga either direct au indirect
 
Kwa hiyo wewe mpenzi wako akishindwa kukusapoti kwa situation fulani unaachana nae na kutafuta mwingine? Huu si ndio udangaji wenyewe sasa?
Hata kama sio pesa ushauri tu kashindwa kumpatia nin maan ya kua na mwanaume hapo.

Kama ni udangaji sawa.
 
Sasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
🤣🤣🤣🤣 C unajua sisi unafki kawaida yetu
 
Baada ya kusoma uzi pamoja na comments zote naweza kusema kitu sasa

Ushauri wangu kwako ndugu mtoa mada me/ke
Kwasasa azima baiskeli hapo mtaani kwenu uwe unaendea kazini, ukipata mshahara nunua baiskeli yako binafsi na tatizo litakuwa limeisha. Maana hutatumia nauli tena.
Badala ya kula kazini uwe unaenda kazini na kitu chako cha kula kutokea nyumbani achana na mambo ya kununua, maji pia uwe unaenda nayo

Faida za kuendesha baiskeli ni nyingi zikiwemo za kiafya.
Jimena ushauri wako ni mzuri dear.ilaa bunju to magomeni unujua umbali wake? Aende Kwa baiskeli?
Mfano aanzie mwembechai akanyage pedali Hadi Ubungo mataa,[emoji134]
Akangayage Tena Hadi mwenge mataa[emoji134]
Mwenge mpaka kawe ama tegeta to bunju
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772][emoji2772]

Utakua unakaa mkoani wewe.
 
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini

Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake

Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..

Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka

Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe

Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..

Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi

Ni hayo tu wakuu

+255 67 949 7293 Rahma Yusuph
Karma is a bitch wakati unaringa kuwapa mbususu waoaji uliona unajiweza nyie mbwa mnaringa sana mkiwa chuo sasa pambana na K yako iburuze utakavyo
 
Jimena ushauri wako ni mzuri dear.ilaa bunju to magomeni unujua umbali wake? Aende Kwa baiskeli?
Mfano aanzie mwembechai akanyage pedali Hadi Ubungo mataa,[emoji134]
Akangayage Tena Hadi mwenge mataa[emoji134]
Mwenge mpaka kawe ama tegeta to bunju
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772][emoji2772]

Utakua unakaa mkoani wewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akianz kutafuta nahitaji mengi wakt hakun mazngr ya kipato ata kitembeza sana, inabd awe na basic tuu chumba na chakula
Huo nao ni mwanzo mzuri ila sio kuanza kwa kutembeza bakuli hapa Jf.
 
Wewe hujui tulipoanzia ndio maana naona unaropokwa tu, mimi na huyo jamaa ni mahasimu wa muda mrefu kwenye mada kama hizi kwahiyo siwezi kuandika kitu ili kumfurahisha yeye na anajua hilo, ndio maana nakushangaa wewe unavyojitetea hapa ni kama vile unataka kumfurahisha
Sasa km mahasimu si muandae mechi mzichape. Unanichosha bhana na hun wako em kafieni mbele uko-ooo
Kibuyu km vibuyu vingine
 
Sasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
Hasara ya kudanga inakujaga baadae huwezi kuona sasa hivi
 
Hasara ya kudanga inakujaga baadae huwezi kuona sasa hivi
Kutokana na baadhi ya wadau kutoa maoni hasi juu ya mtoa mada (O.P) na mimi kuangalia kwa umakini, nimejiridhisha the O.P is not representing the person she claims to be. Nilikuwa na mpango wa kumtumia nusu ya mshahara wake ila nimeghairi.
 
Tukubali tu kuwa most of dada zetu swala la kujitafutia bado sana, muwezeshwe tu ili muweze kama slogan zinavyosema. Bahati mbaya me nao wamekuwa makatili sana, situation kama hii(japo najua huyu ni muongo tu) me wanachukulia advantage na kumchakaza dada wa watu kwa vijisenti kidogo tu.
 
Back
Top Bottom