- Thread starter
-
- #561
[emoji6][emoji23] wewe unatafuta huruma kwa jamii kwasabab za kipumbavu kabisa, unapokea mshahara 250k unasema una maisha magumu? Wakat kuna watu wana familia wanalipwa 100k na hawajawah kukosa kwenda kazin... Wewe sema unataka kujiingiza ktk umalaya, shauri yako utatombw[emoji23] uzalishwe uongoze idadi ya singo maza, uanze kuita wanaume wote mbwa wakat wew ndio mbwa koko...
Unalipwa 250k halafu huna akili unanunua chakula kilasiku kazini 2,000 [emoji23][emoji28][emoji28] wee mpuuzi si jipikie nyumban vitafunwa ambavyo haviharibik ukifika kazini unakula asubuhi na mchana... Au beba kiporo utakula kazini...
Kuna watu wanafanya kazi maofisi makubwa yana mshahara mkubwa ila wanabeba chakula kutoka nyumban, wewe tatzo lako unataka kuishi kisista duu...
Nakuambia ukweli mchungu mimi sitafuni maneno, binti utatombw[emoji28] hadi K ibaki inaning'inia kama lapulapu au dekio... Tumia akili usitumie matako kufikiri
Wewe una mihemko hebu kaa usome vizuri
Wapi nimesema wamenilipa?
Nimesema ndio nimeanza kazi sijawah kulipwa hela
Ndani Hakuna chochote hiyo elfu 2 itanunua Kila kitu ndani kiasi kwamba niweze kubeba chakula
Option nilioona ni usiku kupita kwa bro nile cha usiku Asubuh sinywi chai mchana ndio nitafute cha elfu 2 na kazi ninayofanya ukiingia ni mpk saa1 ndio kutoka
Sasa sijui hiyo mihemko unaishusha kwenye uzi inatokea wapi