Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Tatizo nchi hii hujui kama ni kweli huyu mtu ana shida au ni tapeli. Yaan kuna saa unataman kumsaidia mtu unakuta ndio biashara yake. Pole sana kama ni kweli ila jikaze upambane hakauna njia rahc kwenda upande wa pili. Niko safarin nikijaliwa kurud utauona muamala wangu. Ila plz naomba uwe mkweli tunaogopa kuwapa hata kamtaji flan watu wenye shida za kweli kwasababu matapeli ni wengi mno.
 
Ndugu soma bila kuwa na hisia negatieve nimesema siwezi kumsumbua mama hana hela

Ndio naanza kazi sijalipwa natoa wapi hela hiyo

Hiyo elfu 2 nakula mchana maana usiku nakula kwa bro
Sasa nauli na elfu mbili za kula kazini unatoa wapi?
 
Ni kweli ila maisha yanatupa hizo chaguzi

Yaani nimewaza leo kuna mtu anataka nikaishi nae au niende tu labda ugumu wa maisha utapungua
Jiandae kuwa single mother mpya mjini apa ,mwisho wa sku uje useme wanaume wote ni mbwa na mimi nimeshakusanua.
 
Hiyo mind unavyoona kuwa sometmz Options hakuna ,ndio muwaelewe vijana wa rika lenu mkiona wana hustle na kukupa hata 20K, Usiseme ki hela gan umenipa, au akisema hana msiwadharau.

Ushauri, ongea na maza, nyumba ni mtaji hiyo. Weka mpangaji kwa miezi mitatu upate back Up ya kuanzia life. Pangisha vyumba kadhaaa au nyumba nzima.

Kuna bro wangu alikuwa anatafuta house mate, yeye hakai sana home kwake na mtu anaishi kisela, yupo na some rooms, ukitaka niku link naye. Kama utampza kidogo au mtafanyaje.

But unaweza geuz nyumba ikawa kama side hustle, itupie Airbnb au pangisha kawaida. Pole kwa mapito.
 
Pia kuna neno kaandika "Sema nini, we una roho mbaya" hilo neno ni wanaume ndo tunaandika hivyo
 
Sasa kadogo2 ile mimba uliyoipata wakati unasoma Mzumbe university uliitoa? Maana umeandika huna mtoto.

Halafu wanawake mlivyo na roho mbaya, mwenzenu kaleta tatizo hata kumtumia hela hakuna, mnamshauri afanye umalaya.
 
Pole sana ila jenga mahusiano pia na majirani zako incase ya changamoto hizi wanakupiga tafu
 
No hukunikwaza its alright, Bunju napajua vizuri sanaa na huo umbali pia
Lakini najua hukunielewa kwanini nilimshauri vile, huyu mleta mada mwenyewe hajulikani ni jinsia gani lakini pia story yake ina utata mno kiasi kwamba ukisoma comments plus nyuzi zake za awali ambazo wamezi-quote na kuleta humu utagundua kuwa huu uzi upo kimkakati sanaa na ndio maana nami nikashauri kimkakati vile vile
 
Mpenzi ingekuwa hivyo ni siku nyingi ningepotea.. mimi nimejikuza mwenyewe na mtaani kwetu Hakuna binti aliesoma na alietulia na asie na mtoto zaidi yangu… huko nilishapita kinachoniwazisha hapa ni hii hatua nitavukaje
UIngekuwa arusha ningekuwa nakupa nauli kila siku maana kuna binadamu
 
Dah ntakutafuta nikusomee Dua bure kabisa... Upate kazi itakayokidh hali yako🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…