Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji


Hiyo huduma ipo kazini mpendwa watu wanauza kila kitu
 
Kwanini usihamie magomeni?
 
Wa kumchangia fwedha hayupo labda wa kumsumbua kwenye simu na mitongozo ya hapa na pale.
Wanaume wenyewe wa kutoa pesa hawa wanaoulizia kazi za kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura?
Niko pale nimekaa wakimtumia
 
Unakosea sana kulaumu nduguyo. Huo mshahara wa sh 250,000 unatosha kwa nauli ambayo kwa wiki ni sh 25,000 kwa nwezi ni sh 100,000 hivyo unabakiwa na sh 150000; hiyo hela inatisha kula jioni bila kwenda kumsumbua kakako. Unafikiri kakao analipwa mamilioni? Mshshara wa mwenye degree serikalini masomo ya art ni kama sh 700,000 hivi sasa yeye ajihudumie yeye na fanilia yake haladu bado na wewe tena. Ona aibu.

Ukitaka maisha nje ya uwezo wako jiuze ususumbue nduguzo.
Bajeti hiyo sh 259,000 kwanza kodi ya nyumba hulipi .
 
Ukishakua mtu mzima jifunze kujipambania mwenyewe bila kutegemea mtu
 
Wa kumchangia fwedha hayupo labda wa kumsumbua kwenye simu na mitongozo ya hapa na pale.
Wanaume wenyewe wa kutoa pesa hawa wanaoulizia kazi za kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura?
Niko pale nimekaa wakimtumia
Wanaume wenye hela tupo lakini niamini mimi, mtu mwenye matatizo kama yake asingekuwepo hata JF saivi akiandika uzi kama zake. Mimi nikiwa na changamoto zangu za kawaida tu, JF siingii hata week, sembuse hizo shida kibao kama hizo...Muongo huyu.
 

Dear sijapokea mshahara Ndio kazi naanza nina siku 10 tu

Ndio maana nikaomba support ya nauli mpk nipate mshahara
 
Hiyo huduma ipo kazini mpendwa watu wanauza kila kitu
OK. Vip katika eneo lako hakuna fursa za Bob a job? e.g. watu wanaohitaji kuoshewa vyombo, kufuliwa nguo, kufanyiwa usafi - kazi hii waweza kuifanya kama part time ukitoka kazini. Hii ukipata 1000 kwa siku; kwa mwezi utatengeneza 30,000/= (Hapo usiangalie elimu au status quo)
 
Kazi yenye Malipo hivyo inahitaji uwe unalala hapo hapo kazini... ! e.g Receptionist wa Logde,G.house n.k.

Sasa wewe kutokea Bunju kila siku hadi Town Lzm Kichwa kikuume...!

Muombe Brother Mtaji uanze Biashara.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…