Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Angekuwa mwanaume mngeanza kumzodoa lakini kwa vile ni mtoto wa kike mafisi yameanza kujifanya yana roho nzuri na yenye huruma baadaye muanze kumsumbua mtoto wa watu!
Wanaume wameumbiwa mateso, nimekumbuka kitu ila haya maisha bas tyuu.
 
Niwakumbushe tu ndugu wajumbe huyu mleta mada alishwah kuja na uzi wa kusema amechoka kuwa SIDE CHICK anataka kuwa MAIN CHICK
Ahsante kwa kumbukizi ya mleta mada.

Humu kupigwa ni nje nje nikikumbuka nilipewa hadi namba ya kike na nikapiga simu nikaongea na mwanamke lakini kumbe ni mwanaume kaseti mchongo ili asiumbuke napata ukakasi sana.

Hii ID kuna kitu kinaniambia ni ya kidney.
 
ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.

Sipo hapa kutaka kuaminika na mtu Kama hutaamini ni juu yako mkuu mimi nimetoa ya moyoni
 
Hapa ndiyo utajua unafiki wa wanawake ulipo wacha niendelee kusoma uzi

Pole sana mkuu kwa changamoto unazopitia hakuna zito lisilo na njia mtegemee Muumba wa vyote.
 
Sio wote wanaodanga wanapenda, maisha yanalazimisha kudanga ndio yakae sawa,sasa sie tuqmeomba namba tukuchangie hutaki kutoa.
Hapo kudanga hakukwepeki,hakunaga shujaa kwenye njaa my dia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…