cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaulizia enye 600k, na bado watendaji wa kata au mtaa hawajawakataa woiiiihDaftari la wapiga kura mahi nao wanaulizia [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaulizia enye 600k, na bado watendaji wa kata au mtaa hawajawakataa woiiiihDaftari la wapiga kura mahi nao wanaulizia [emoji1787][emoji1787]
Wajinga kweli ndo waliwao.Asanteni wote mlionitumia nashindwa ku wajibu line yangu inadaiwa nikijiunga tu wanakata hela yao
Umekumbuka wapi mahi 😂Usinikumbushe kitu em [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahha Mtanivunja mbavu 😀😀😀Yaani na ya kutolea tumeshatuma halafu ndio anasema kasoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii 😁
Kidney anatupanga nawe mahi 🤣Kwan wanakutumia buku buku? Si ulipw deni na uunge salio afu ushukuru watumaji, au shda yako ndo itaisha leo mazima?
Hutotaka tena msaada humu?
Sorry.
Mwenye uzi; Kadogo2 aliandika (Nanukuu: Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm) kwenye komenti # 117 Samahani.
Aunt nimekumissUsinikumbushe kitu em [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waheshimu mashoga tafadhari, wako wanaojitambua na wanatumia jasho lao la halali, tena wengine wanahudumia mabasha wao. Kwa kifupi wanalea marioos na viben10.Unatumia nauli 5000 kwa siku lakini unashindwa kutafuta chumba cha karibu ulipe 50000. Kwa mwezi. Nafikiri elimu ya chuo haijakusaidia, mshahara unaopata Kama ukiishi kulingana na mshahara wako ni mkubwa Sana Ila ukitaka kuishi Kama mbunge.
Kama mshahara wako unapitia benki kopa tafuta chuma karibu hutakosa.
Kama ungekuwa mwanaume ungekuwa shoga kwa akili yako.
Nafahamu. Hata pale Rungemba Mafinga ipo. Ila mtoa mada aliandika hivi: Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm Ni hayo tu.Maendeleo ya Jamii, iko kwa Certificate na diploma, na kuna vyuo navijua inatoa hiyo course, ikiwepo Chuo cha Mipango Dodoma.
Na ajira ya hii course, ni utendaji wa kata/mtaa/kijiji.
Tena watendaji wana nongwa km ndugu wa mume wanawasubiri wawakate 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaulizia enye 600k, na bado watendaji wa kata au mtaa hawajawakataa woiiiih
Kwan wanakutumia buku buku? Si ulipw deni na uunge salio afu ushukuru watumaji, au shda yako ndo itaisha leo mazima?
Hutotaka tena msaada humu?
Leo ndo suti za kaunda tunawajua sasa, hahaNi nadra sana,tena sana kumkuta mtoto wa kike akitumia hayo maneno,bro??? ,hiiii wadanganye
Sasa rekebisha bas hiyo kitu BossKwenye keyboard yangu hilo neno huwa nali type sana so huenda niliclick hapo bila kusoma vizuri
Em sema kweliii??Kwakua ni wewe weka namba hapa nikuunge chap[emoji6]
Point noted mkuu.Nimeku mention uone alichojibu,
Kwakua ni wewe weka namba hapa nikuunge chap😉
Kweli tena weka nikutumieEm sema kweliii??
Dakikaaaa za jioniiiiiiiii naona Azam wanashambuliwa sana na Simba wa terangaUnakumbuka uliwahi niambia unaishi magomeni?
Unakumbuka siku umeomba Savanna 4 Depal
Sio Google, ungesema waende kwenye prospectus ya vyuo husika ulivyotaja wakajionee, kwa uhakika zaidi.Kwa aambao hamjui kozi ya maendeleo ya jamii yaani Development studies (DS) ni kozi mpya ipo UDOM na UDSM kwa ngazi ya degree
Nafikirii hapo tufunge kurasa kama huelewi nenda google