Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Sorry.
Mwenye uzi; Kadogo2 aliandika (Nanukuu: Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm) kwenye komenti # 117 Samahani.

Kwenye keyboard yangu hilo neno huwa nali type sana so huenda niliclick hapo bila kusoma vizuri
 
Unatumia nauli 5000 kwa siku lakini unashindwa kutafuta chumba cha karibu ulipe 50000. Kwa mwezi. Nafikiri elimu ya chuo haijakusaidia, mshahara unaopata Kama ukiishi kulingana na mshahara wako ni mkubwa Sana Ila ukitaka kuishi Kama mbunge.
Kama mshahara wako unapitia benki kopa tafuta chuma karibu hutakosa.
Kama ungekuwa mwanaume ungekuwa shoga kwa akili yako.
Waheshimu mashoga tafadhari, wako wanaojitambua na wanatumia jasho lao la halali, tena wengine wanahudumia mabasha wao. Kwa kifupi wanalea marioos na viben10.
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Maendeleo ya Jamii, iko kwa Certificate na diploma, na kuna vyuo navijua inatoa hiyo course, ikiwepo Chuo cha Mipango Dodoma.

Na ajira ya hii course, ni utendaji wa kata/mtaa/kijiji.
Nafahamu. Hata pale Rungemba Mafinga ipo. Ila mtoa mada aliandika hivi: Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm Ni hayo tu.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Kwan wanakutumia buku buku? Si ulipw deni na uunge salio afu ushukuru watumaji, au shda yako ndo itaisha leo mazima?

Hutotaka tena msaada humu?

Angalau ifike elfu 15 ili nipate ya kutolea.. kesho nitajiunga vocha
 
Wanawake bana! Akili zenu ni fupi mno… Why usiwaze ni jinsi gani unapata hela yako clean ya kujitosheleza, Kwanini usijisumbukie vilivyo kujimudu wewe mwenyewe?

Why mnapenda kusaidiwa saidiwa, Imagine huna mtoto ushayashindwa maisha yako mwenyewe… Kutokupewa unachotaka na unaowategemea kumeshakufanya uwaze negative.

Wewe unafikiri huyo kaka yako hachoki? Unafikiri jibu alilokupa ni baya? Subiri na wewe ukolee kwenye kujitafutia uone kama utakuwa unatoatoa tu.

Umezaliwa mzima wa afya, umelelewa kama alivyolelewa kaka yako na Umesomeshwa kama alivyosomeshwa kaka yako pia, Hukujua kaka yako alipopitia hali kama yako alivuka vipi, Pambana na uache kuwaza ujinga.

Yer: 17:5 …Amelaaniwa mtu yule amyegemeae mwanadamu…
 
Kwa aambao hamjui kozi ya maendeleo ya jamii yaani Development studies (DS) ni kozi mpya ipo UDOM na UDSM kwa ngazi ya degree

Nafikirii hapo tufunge kurasa kama huelewi nenda google
Sio Google, ungesema waende kwenye prospectus ya vyuo husika ulivyotaja wakajionee, kwa uhakika zaidi.

Kumbe ni mpyaa!! Bas sawa mahi.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom