Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Mimi hainishtui ndugu Hakuna jipya hapo.. wewe endelea kupoteza muda wa kujibizana uache kulala
Acha ujinga kaka. Hiyo ni laana unajitafutia bure.
Kwanza vipi yule mmeo uliekuwa unaishi nae magomeni, bado amesafiri au karudi😁
 
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini

Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake

Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..

Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka

Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe

Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..

Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi

Ni hayo tu wakuu
Usikate tamaa, yote yatapita tu na kubaki historia muda sahihi ukiwadia.
 
Siyo wote lakini, nimekuwa na mwanamke hajali kabisa pesa, yeye anajali uwepo, ile mwanaume kuongoza na kuweza kutatua changamoto (ku fix gari, computer, washing machine n.k)
Huyo si unaishi naye ndiomana
 
Sawa basi endelea kushusha povu na usilolijua Kuna watu humu tumeshaonana kwa macho wanakushangaa tu unavokaa kubishana

Endelea mkuu ukichoka utalala
Anonymity feature ya JF isiwafanye mkawa matapeli wa mitandaoni. Acheni mitandao iwe salama ya watu kuja ku socialize na kujifunza mambo mapya. Msituletee utapeli humu.
 
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini

Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake

Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..

Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka

Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe

Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..

Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi

Ni hayo tu wakuu
Nitumie picha ya tako lako PM nione naweza kukusaidia vipi.
 
Acha ujinga kaka. Hiyo ni laana unajitafutia bure.
Kwanza vipi yule mmeo uliekuwa unaishi nae magomeni, bado amesafiri au karudi[emoji16]

Daah ila kuna watu wanatafutaga shari kwa nguvu najua mwanaume ukiitwa shoga itakuuma ila mimi ni mwanamke ukiniita mwanaume hata sichukii sasa ndugu usianze kunichochea na Mimi nirudishe mpira kwako nikulazimishe wewe ni wa kike while unajijua wewe ni jinsi ipi

Niko positive sitokukejeli ila wewe endelea ukichoka utalala
 
Peaky blinders hajawahi ibiwa na boya kama wewe hapa jf.
  • nilikuumbua watu wakakujua na kutoa shuhuda zao hapa hapa jf.
  • Hata Savanna 4 ulizoomba nilikunyima
-Uliomba elfu 10 uunge bando nikakunyima
Acha huu ujinga kaka.
🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Sawa basi endelea kushusha povu na usilolijua Kuna watu humu tumeshaonana kwa macho wanakushangaa tu unavokaa kubishana

Endelea mkuu ukichoka utalala
Hakika hata kunena kwako, wewe ndie.
Hili ni jibu maarufu sana la figo.
 
Sijapinga kusaidia watu na wapo watu humu pia hata mimi nishawafata PM nikawachangia kwenye uzi zao waliozileta kulia shida, (watakuja kueleza hayo kwa muda wao wakijiskia) ila authenticity ya story ya muhitaji ina namna yake haikuachi na question marks, unajikuta unatoa bila maswali ila hawa janja janja za brother sijui bro nyingi kwenye uzi, hakuna kitu.
Ndio mimi nimeomba ushauri, sote kwa pamoja tuwaze namna nzuri ya kucross check kama waomba misaada wanahitaji kweli msaada, either kupitia kwa wenye jamii forums au any verified figures wa humu (kama walivyo akina Malisa kule insta) kusudi wenye kuomba msaada basi wapate msaada, na watoa msaada watoe kwa kujua pesa yao inagusa hitaji la mtu.

Naelewa kuwa hata mtu awe na pesa nyingi kiasi gani hatapenda kumpa mtu muongo/tapeli. Binafsi kuna kakijana humu kalisema kama mke amejifungua na kazi imesimama, hawana hata hela ya chakula, nikafikiria njaa inavyouma wakati wa kunyonyesha ngoja nichangie mwanamke mwenzangu apone, looh! Hako kakijana kalikuja kuumbuliwa humu kuwa kana uraibu wa kubeti, hakana mke wala mtoto wa mchanga! What a waste..

Naelewa changamoto za utapeli, lakini humo humo kuna wenye shida kweli, hatuwezi kumaliza matatizo ya watu ila tunaweza kuelevate situations hata kwa masaa kadhaa.

Sijasema huyu achangiwe, namaanisha JF kama Community tunaweza kupata namna nzuri ya wenye uhitaji kusaidiwa.
 
Anonymity feature ya JF isiwafanye mkawa matapeli wa mitandaoni. Acheni mitandao iwe salama ya watu kuja ku socialize na kujifunza mambo mapya. Msituletee utapeli humu.

Mkuu Kama una ushahidi si uweke hapa au tuma kwa moderator wanipige ban mbona unatunga tunga story
 
Thread hii na ile zina contents tofauti kwaiyo hata mbinu za kukabiliana na situation husika lazima ziwe tofauti. Angeonekana wa ajabu kama angekua na mawazo tofauti katika thread moja.
Ishu siyo content ya thread ishu ni mtazamo alioko nao kichwani kwake, kwahiyo solution ya kukabiliana na hiyo situation ni kudanga mbona wanawake wenzie wengi hawajamshauri hivyo mtoa mada, halafu na wewe si huwa uko against wanawake wanaodanga au umeshindwa kupambana nao umeamua kuungana nao tu
 
Back
Top Bottom