Leo ndio nimemuona Paschal Mayala hapa Dodoma, kumbe Grand Pa kabisa

Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
Dah..... kamwe usiseme hivyo... Ongea kwanza na mkewe au mpenzi wake ndiyo uje uandike... 😎 😎
 
Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
Vipi unataka umpe paja Hilo na minyama ya mitako?
 
Bila picha huu ni utapel kama utapel mwngne
Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
 
Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
Marhaba Janne, jannelle , next time nisalimie tuu, huwezi jua!.
Nina watoto 9 wa home, 3 wa ziada, na wajukuu 6, hivyo mimi japo ni babu, lakini yale mengine, pia naendelea nayo!. Ni juzi kati tuu nimeongeza Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P
 
Back
Top Bottom