Leo ndio nimemuona Paschal Mayala hapa Dodoma, kumbe Grand Pa kabisa

Kwa kauli kama hii ya ukweli mchungu kwa CCM, sio rahisi akapewa uteuzi. (Rejea post #18 hiyo yenye video clip). Wenye mamlaka ya kuteua kupendekeza wateuliwa wanataka wasifiwe tu hata kama ni kwa unafiki, sasa Pascal Mayalla hawezi kufanya hivyo.
 
Amekuwa akipambana sana kumpambania Rais. Lakini ni kama amedharaulika tu. Zinatoka nafasi inakuwa kama hawamwoni. Tatizo ni nini? Au ni sababu yeye ni Musukuma?

Siyo haki. Miaka mingi amepambana. Na sasa anaweza vizuri hata kumponda Magufuli na kumsifia kichwa nani. Bado hamumwoni? Siyo sahihi. Akumbukwe Pascal Mayalla.

Huyu alienda kutaka gombea ubunge. Akapata kura moja au mbili sikosei. Ndiyo .... Hata familia yake hawakumchagua.
 
Asikumbukwe Pascal Mayalla
 
Kwanini hakuteuliwa wakati wa Magufuli ambaye ni Msukuma? Umeliona leo hili? Ukilea mwana mwema na mwanamui mlee. Pascal ni mpambanaji japo anamapungufu yake kama binadamu.
 
Shida ya Pasco haeleweki, yupo nusu nusu, sasa uchawa ni wa kuigiza mazima. Unaejipendekeza kwake anatakiwa akuamini mazima. Asikuwekèe doubts.
Pili Pasco, waga anawachana akiamka vizuri. Sasa hiyo haifai. 😊
Mkulima Lucas Mwashambwa amezama mzima mzima uchawani lakini naye hukumbukwi, ikabidi aridhike na zile buku saba saba.
 
Back
Top Bottom