Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kama civilization ni mmoja tuu na kamoja tuu, endeleeni na hiyo civilization yenu, bora tuiitwe washamba lakini tujilie vinavyolika na wala sio uroho, ni tumejaaliwa good appetite!.Uncivilized Sukuma Gang wote ni waroho wa viitwavyo "vyakumemena mbalimbali "
Steve ni chawa kumpelekea sangoma.....bibi yule...!! Ndio kazi yakeeeWeka Steve Nyerere na Mzee mayalla.
Steve atapewa uteuzi Mzee atasubiri.
Uenda tatizo NYOTA
Kwahiyo unaondoka vitano mdogo wangu?Kama civilization ni mmoja tuu na kamoja tuu, endeleeni na hiyo civilization yenu, bora tuiitwe washamba lakini tujilie vinavyolika na wala sio uroho, ni tumejaaliwa good appetite!.
P
Msosi mtamu ni just a three course meals, unaanza na starter, unakuja main course, unamalizia na desert! Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?Kwahiyo unaondoka vitano mdogo wangu?
Asikumbukwe Pascal MayallaAmekuwa akipambana sana kumpambania Rais. Lakini ni kama amedharaulika tu. Zinatoka nafasi inakuwa kama hawamwoni. Tatizo ni nini? Au ni sababu yeye ni Musukuma?
Siyo haki. Miaka mingi amepambana. Na sasa anaweza vizuri hata kumponda Magufuli na kumsifia kichwa nani. Bado hamumwoni? Siyo sahihi. Akumbukwe Pascal Mayalla.
Huyu alienda kutaka gombea ubunge. Akapata kura moja au mbili sikosei. Ndiyo .... Hata familia yake hawakumchagua.
Kwanini hakuteuliwa wakati wa Magufuli ambaye ni Msukuma? Umeliona leo hili? Ukilea mwana mwema na mwanamui mlee. Pascal ni mpambanaji japo anamapungufu yake kama binadamu.Amekuwa akipambana sana kumpambania Rais. Lakini ni kama amedharaulika tu. Zinatoka nafasi inakuwa kama hawamwoni. Tatizo ni nini? Au ni sababu yeye ni Musukuma?
Siyo haki. Miaka mingi amepambana. Na sasa anaweza vizuri hata kumponda Magufuli na kumsifia kichwa nani. Bado hamumwoni? Siyo sahihi. Akumbukwe Pascal Mayalla.
Huyu alienda kutaka gombea ubunge. Akapata kura moja au mbili sikosei. Ndiyo .... Hata familia yake hawakumchagua.
Mkulima Lucas Mwashambwa amezama mzima mzima uchawani lakini naye hukumbukwi, ikabidi aridhike na zile buku saba saba.Shida ya Pasco haeleweki, yupo nusu nusu, sasa uchawa ni wa kuigiza mazima. Unaejipendekeza kwake anatakiwa akuamini mazima. Asikuwekèe doubts.
Pili Pasco, waga anawachana akiamka vizuri. Sasa hiyo haifai. 😊
Alehoii sana.,.., e haha alelya kafu na mawhele lindaga igoteePasco ng'wana mayala....aleyoooo.