Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nimeona mara mbili akiokoa hatari za Yanga. Kuna nyingine alipewa pande kwenye 18, alipoona hawezi kuufikia mpira akaurukia.
Aisee hii ni dharau
Aisee hii ni dharau
Unatakiwa umuite Ibrahim Osimhen Doumbia. Na siyo Ibrahim Doumbia.Dunia leo inaenda kumheshimisha Ibrahim Doumbia.
Tayari mpaka sasa Doumbia anaenda kudidimiza vichwa vinne pale Jangwani.
Wataimba haleluya
Huyu naye kama vipi apewe ulinzi kama ule anaopatiwa mwenyekiti Mangungu. Alindwe kwa wivu mkubwa.Jamaa ni BONGE Moja la striker, atawafikisha mbali Simba Sc ,ni hatari sana ,awe na mpira asiwe na mpira bado hatari,🤣🏃
matokeo yake wamepigwa kichwa kimoja na Albert Kangwanda aka Albert KangwandairDunia leo inaenda kumheshimisha Ibrahim Doumbia.
Tayari mpaka sasa Doumbia anaenda kudidimiza vichwa vinne pale Jangwani.
Wataimba haleluya
Alindwe na alindwe tena, striker fosiHuyu naye kama vipi apewe ulinzi kama ule anaopatiwa mwenyekiti Mangungu. Alindwe kwa wivu mkubwa.
Humphreys Agro Machines ndio aliyemleta nchiniUnatakiwa umuite Ibrahim Osimhen Doumbia. Na siyo Ibrahim Doumbia.
TehYaani wanasimba leo kama unaenda kibanda umiza unatakiwa kuvaa nepi kabisaaa.
Njoo nikutawaze MkuuMsimu huu Simba tuko vizuri sana, yanga mtazoa sana Mavy
Aibu na mimiHivyo na wewe ulimuamini mleta uzi. 😂😂
Teh Lihasibu lakuchovyaNimeona mara mbili akiokoa hatari za Yanga. Kuna nyingine alipewa pande kwenye 18, alipoona hawezi kuufikia mpira akaurukia.
Aisee hii ni dharau