marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
-
- #41
Unajua kutoka mji mmoja ni derby Geographical lakini sio kila derby ni rival kwa mfano unapozungumzia London Derby zipo nyingi sana lakin rival ni arsenal na Tottenham yani wale hawapendan tipical kwasababu historical background ina wafanya wawe hivyoPlayers ; apart from kina Rooney, Gerald, Owen, na Carragher ambao wamekulia Liverpool na Scoursers wa ukweli players ni mercenaries and professional kwahio kwa kipindi kirefu Man City walikuwa chini obvious kwao hii game sio kubwa kama local fans, apart kwa hao niliowataja hapo juu hawawezi chukulia poa game yao na Everton
Media.., Which Media Local au International...
Fans..., which fans ?, Glory Hunters wa United waliopo Africa, na London au Local fans wa Manchester ?
Narudia Locally hakuna game kubwa zaidi ya Local Teams na ndio maana game nyingi zilikuwa zinaanza mapema saa sita kabla watu hawajanywa pombe na kufanya fujo wakishalewa na kufungwa...
Hence the statement kwamba United anaweza kufurahia kungwa na local rivarly wake City sababu ya U rivaly wake na Liverpool ni non starter
Kuna mwaka arsena walisha jifungisha mechi kwa kupanga watoto wa academy ilikua vs bhamigham city ili tot ashuke daraja
Ila tot na Chelsea ni Derby but not that much rival ni kawaida tuh..
Nakubariana na wewe kwamba jirani akipika pilau na ukalala na njaa ni shida zaidi ya pilau La mtu wa mbali
Lakini kwa Manchester united vs Liverpool hiii ni zaidi ya derby kuna wakati walisainishana mkataba kuto uziana wachezaji kamwee! na hauto kuja kuona wakibadirishana wachezaji hawa jamaa
Huu uhasama sio wa uwnjani tuu ni uchumi, siasa jamii na historical...yani ni bifu kubwaa sanaa