Leo ndio siku sahihi kwa Manchester United kulipa kisasi kwa Liverpool

Players ; apart from kina Rooney, Gerald, Owen, na Carragher ambao wamekulia Liverpool na Scoursers wa ukweli players ni mercenaries and professional kwahio kwa kipindi kirefu Man City walikuwa chini obvious kwao hii game sio kubwa kama local fans, apart kwa hao niliowataja hapo juu hawawezi chukulia poa game yao na Everton

Media.., Which Media Local au International...

Fans..., which fans ?, Glory Hunters wa United waliopo Africa, na London au Local fans wa Manchester ?

Narudia Locally hakuna game kubwa zaidi ya Local Teams na ndio maana game nyingi zilikuwa zinaanza mapema saa sita kabla watu hawajanywa pombe na kufanya fujo wakishalewa na kufungwa...

Hence the statement kwamba United anaweza kufurahia kungwa na local rivarly wake City sababu ya U rivaly wake na Liverpool ni non starter
Unajua kutoka mji mmoja ni derby Geographical lakini sio kila derby ni rival kwa mfano unapozungumzia London Derby zipo nyingi sana lakin rival ni arsenal na Tottenham yani wale hawapendan tipical kwasababu historical background ina wafanya wawe hivyo

Kuna mwaka arsena walisha jifungisha mechi kwa kupanga watoto wa academy ilikua vs bhamigham city ili tot ashuke daraja

Ila tot na Chelsea ni Derby but not that much rival ni kawaida tuh..

Nakubariana na wewe kwamba jirani akipika pilau na ukalala na njaa ni shida zaidi ya pilau La mtu wa mbali

Lakini kwa Manchester united vs Liverpool hiii ni zaidi ya derby kuna wakati walisainishana mkataba kuto uziana wachezaji kamwee! na hauto kuja kuona wakibadirishana wachezaji hawa jamaa

Huu uhasama sio wa uwnjani tuu ni uchumi, siasa jamii na historical...yani ni bifu kubwaa sanaa
 
Huyo mtu uliyemtaja nilikuwa namuhusudu saana awapo uwanjani kwangu mimi ndio midfielder bora ya kiingereza kwa muda wote na mchezaji bora wa kiingereza namba 2 nyuma ya wayne rooney..

Ngoja tuone usiku wa leo utaleta kitu gani, dua la kuku halimpati mwewe, natamani kuona the reds wakinyakua kombe hili, ikiwezekana yote mawili epl na ucl.
Rooney na ujanja wake wote wa kufunga magoli hana golden boot hata moja.
 
Unajua kutoka mji mmoja ni derby Geographical lakini sio kila derby ni rival kwa mfano unapozungumzia London Derby zipo nyingi sana lakin rival ni arsenal na Tottenham yani wale hawapendan tipical kwasababu historical background ina wafanya wawe hivyo

Kuna mwaka arsena walisha jifungisha mechi kwa kupanga watoto wa academy ilikua vs bhamigham city ili tot ashuke daraja

Ila tot na Chelsea ni Derby but not that much rival ni kawaida tuh..

Nakubariana na wewe kwamba jirani akipika pilau na ukalala na njaa ni shida zaidi ya pilau La mtu wa mbali

Lakini kwa Manchester united vs Liverpool hiii ni zaidi ya derby kuna wakati walisainishana mkataba kuto uziana wachezaji kamwee! na hauto kuja kuona wakibadirishana wachezaji hawa jamaa

Huu uhasama sio wa uwnjani tuu ni uchumi, siasa jamii na historical...yani ni bifu kubwaa sanaa
Yap ila Arsenal na Spurs wote wanatokea North London.., hivyo hata ingekuwaje hawa jamaa hawawezi wakawa marafiki.., mfano pia West Midlands., ingawa Villa na Westbrom zote ni Westmidlands ila Birmigham na Villa ni karibu zaidi vilevile Wolves na Westbrom.., kwahio mkuu jirani akikufunga unakutana nae kila kona tofauti na mtu wa mbali.., yaani unaweza kuta mke wako Villa wewe Birmingham ila ni nadra sana ukute shabiki wa Man City Birmingham.., hivyo hata akikufunga upishani nae sana mtaani...,
 
Unajua kutoka mji mmoja ni derby Geographical lakini sio kila derby ni rival kwa mfano unapozungumzia London Derby zipo nyingi sana lakin rival ni arsenal na Tottenham yani wale hawapendan tipical kwasababu historical background ina wafanya wawe hivyo

Kuna mwaka arsena walisha jifungisha mechi kwa kupanga watoto wa academy ilikua vs bhamigham city ili tot ashuke daraja

Ila tot na Chelsea ni Derby but not that much rival ni kawaida tuh..

Nakubariana na wewe kwamba jirani akipika pilau na ukalala na njaa ni shida zaidi ya pilau La mtu wa mbali

Lakini kwa Manchester united vs Liverpool hiii ni zaidi ya derby kuna wakati walisainishana mkataba kuto uziana wachezaji kamwee! na hauto kuja kuona wakibadirishana wachezaji hawa jamaa

Huu uhasama sio wa uwnjani tuu ni uchumi, siasa jamii na historical...yani ni bifu kubwaa sanaa

Mkuu unapoteza energy, kuna aina ya watu wakishajua kitu ni hivi basi hawatakaa wabadilike hata uwaambie nini.

Huyo kashameza hilo tango, hata umwekee statistics gani, evidence gani utajisumbua tu.
 
Acha urongo, Man. Utd hakuwa kwenye posibility yoyote ya kupata ubingwa kwa msimu huo. Possibility pekee ilikuwa ni ama kwa Man. City ama Liverpool. Na kusema ukweli Gerard aliichoma Liverpool kuliko timu nyingine yoyote. Lakini pia man. Utd kwa sasa hana uwezo wowote wa kuifunga timu yoyote iliyo top six na kwa hivyo asitafute kisingizio eti atafungwa kwa makusudi ili kuwakomoa Liver, atafungwa ni vile hana uwezo.
Bora umemkumbusha huyu mshabiki wa jana wa mpira.

Ilkuwa msimu wa 2013/2014.

Manchester city na Liverpool ndio waliokuwa wanachuana vikal kuelekea ubingwa
 
Rooney na ujanja wake wote wa kufunga magoli hana golden boot hata moja.
Bado hiyo haimfanyi kutokuwa mchezaji mzuri kwangu mimi!! Rooney hakuwa mchezaji mwenye skills nyingi km gaucho, rooney hakuwa mfungaji mzuri kama thierry henry kichogo, hakuchukua kiatu cha dhahabu ila wastani wake wa ufungaji unaridhisha, kaangalie epl kafunga goli ngapi, uefa na national team..

Yote tisa 10 sikumpendea Rooney kwa hayo, nilimpenda rooney kwa ile roho yake ngumu ya upambanaji, jinsi anavyohaha uwanja mzima, alikuwa ni mchezaji mzuri akicheza namb 10 sometimes anashuka chini anacheza km 8, anashuka anakaba, anaenda kushambulia, anapiga pasi ndefu, anapiga mashuti.. Kwake kulikuwa hakuna kitu unaweza kukikosa.
 
Kuna kitu kilikosekana kwa Rooney, temper. Hasira sana na nguvu mpaka anakuwa mtovu wa nidhamu. Kwa wanaoujua vizuri mpira wa Uingereza Rooney is nothing but a player just like any other.
 
Ni karibia miaka 60 sasa hakuna mchezaji aliyehama moja kwa moja kutoka Liverpool kwenda Man Utd ama Man Utd kwenda Liverpool.

North West Derby ni derby kubwa kuliko hiyo Manchester Derby ambapo Man City wameeanza kelele zao mara baada ya kununuliwa na Mwarabu Sheikh Mansour mwaka 2008.

Sir Alex aliwahi kusema Man City ni noisy neighbours! Wapiga kelele tu, watoto wa juzi.

Kwa kuhitimisha, hiyo North West Derby ni zaidi ya derby wakuu, kuna kipindi mechi zao zilikuwa zinapigwa muda wa lunch time kuepusha vurugu za mashabiki.
 
Hayo ni mapungufu ya kibinaadamu, sijawahi hukumu kipaji cha mtu kisa mapungufu ya kibandamu

Kwenye peak yake no one like Rooney kwa uingereza, tafuta hapa uniambie mkuu hapo muweke Gerrard pembeni.

Namba 10 iliyokuwa timilifu km rooney kwa uingereza hakuna.
 
Nakumbuka 1997 - 2001 nilikuwa nagombana sana na home issue za kwenda shamba Jumamosi wakati game inachezwa saa 7:30, ikawa naamka alfajiri.

Napiga kazi muda wa saa 5 nachomoka mbiyo!

Carlsberg vs Sharp!
 
Kuna mdogo wangu ana miaka 18 ni mpenzi wa mpira na ni mfuatiliaji sana wa soka mpaka baadhi ya statistics. Ubaya alikulia kijijini miaka ya kati hapo. Hajui kuhusu Ronaldinho....yeye anasema Neymar ni zaidi ya Dinho. Ikabidi nimuweke sawa. Sasa watoto wa juzi mna tabu. Wakati sisi tunatazama mpira miaka ya 90 nyie hamkuwa chochote.
 
Hayo ni mapungufu ya kibinaadamu, sijawahi hukumu kipaji cha mtu kisa mapungufu ya kibandamu

Kwenye peak yake no one like Rooney kwa uingereza, tafuta hapa uniambie mkuu hapo muweke Gerrard pembeni.

Namba 10 iliyokuwa timilifu km rooney kwa uingereza hakuna.

Rooney hakuwa na kipaji kikubwa ila hardwork imemsababisha awe kwenye elites!

No doubt, he is a hall of famer.

Ni sawa na nikiambiwa nimchague nani kati ya Ronaldo na Messi, nitaenda kwa Ronaldo siyo kwa sababu anamzidi Messi, no, ni kwa sababu kwa kipaji kidogo (less than 50% ya kile cha Messi) ameweza kutumia hardwork mpaka kuingia kwenye discussion ya nani ni mbali kati yake na Messi.
 
Back
Top Bottom