Carlsberg Vs Sharp? Ahhhhhahaha!! It was a real battle.Nakumbuka 1997 - 2001 nilikuwa nagombana sana na home issue za kwenda shamba Jumamosi wakati game inachezwa saa 7:30, ikawa naamka alfajiri.
Napiga kazi muda wa saa 5 nachomoka mbiyo!
Carlsberg vs Sharp!
Kuna mdogo wangu ana miaka 18 ni mpenzi wa mpira na ni mfuatiliaji sana wa soka mpaka baadhi ya statistics. Ubaya alikulia kijijini miaka ya kati hapo. Hajui kuhusu Ronaldinho....yeye anasema Neymar ni zaidi ya Dinho. Ikabidi nimuweke sawa. Sasa watoto wa juzi mna tabu. Wakati sisi tunatazama mpira miaka ya 90 nyie hamkuwa chochote.
Una uhakika Torres alipigilia msumali wa pili? Mbona nawe kama umechanganya madesa?We kiazi kweli tofautisha hapo goli la drogba na goli la demba ba tena torres akaja kuwapigilia msumari wa pili kocha wenu brendan rodgers
Rooney wa kawaida tu. Mimi nilivyomuangalia Adam Lallana AT HIS BEST basi ni zaidi ya Rooney. Nimeweka capital kumaanisha na ieleweke hapo. Mpaka kuna rafiki yangu mmoja shabiki wa Barcelona akawa anasema Muingereza pekee anayejua mpira. Kijana yule majeruhi yamepoteza kipaji chake.Rooney hakuwa na kipaji kikubwa ila hardwork imemsababisha awe kwenye elites!
No doubt, he is a hall of famer.
Ni sawa na nikiambiwa nimchague nani kati ya Ronaldo na Messi, nitaenda kwa Ronaldo siyo kwa sababu anamzidi Messi, no, ni kwa sababu kwa kipaji kidogo (less than 50% ya kile cha Messi) ameweza kutumia hardwork mpaka kuingia kwenye discussion ya nani ni mbali kati yake na Messi.
Carlsberg Vs Sharp? Ahhhhhahaha!! It was a real battle.
Mzee we ulikuwa wapi? Mbona wenzio tumeanza kuona kabla ya hapo kupitia dtv?Mkuu EPL nimeanza kuangalia season ya 1998-99.
Before that tulikuwa tunaangalia mikanda ya games zilizopita.
Ronaldinho first time namwona ilikuwa 1999 kwenye mashindano ya under 19 yalifanyika Nigeria (kitu kama hicho) na alikuwa anaitwa Ronaldo, then Olympic ya 2000 walicheza na Cameron.
Since day one namwona Ronaldinho, I told people kwamba huyu atakuja kuwa mchezaji mkubwa sana.
Nenda youtube utaona aina ya magoli aliyofunga kwenye hizo tournaments.
Nimemwona Maradona 1994 WC (that was my first time kuona live games kwenye TV).
Rooney wa kawaida tu. Mimi nilivyomuangalia Adam Lallana AT HIS BEST basi ni zaidi ya Rooney. Nimeweka capital kumaanisha na ieleweke hapo. Mpaka kuna rafiki yangu mmoja shabiki wa Barcelona akawa anasema Muingereza pekee anayejua mpira. Kijana yule majeruhi yamepoteza kipaji chake.
Man Utd walidhaminiwa na Sharp (Tv) halafu baadae Vodafone ilikuwa hatari sana huku Liverpool wakidhaminiwa na Calsberg (bia) wakiwa wadhamini wa muda mrefu sana wa Liver.Nakumbuka 1997 - 2001 nilikuwa nagombana sana na home issue za kwenda shamba Jumamosi wakati game inachezwa saa 7:30, ikawa naamka alfajiri.
Napiga kazi muda wa saa 5 nachomoka mbiyo!
Carlsberg vs Sharp!
Mataifa huru ya Afrika mwaka 94 hukuangalia live?Mkuu EPL nimeanza kuangalia season ya 1998-99.
Before that tulikuwa tunaangalia mikanda ya games zilizopita.
Ronaldinho first time namwona ilikuwa 1999 kwenye mashindano ya under 19 yalifanyika Nigeria (kitu kama hicho) na alikuwa anaitwa Ronaldo, then Olympic ya 2000 walicheza na Cameron.
Since day one namwona Ronaldinho, I told people kwamba huyu atakuja kuwa mchezaji mkubwa sana.
Nenda youtube utaona aina ya magoli aliyofunga kwenye hizo tournaments.
Nimemwona Maradona 1994 WC (that was my first time kuona live games kwenye TV).
Mzee we ulikuwa wapi? Mbona wenzio tumeanza kuona kabla ya hapo kupitia dtv?
Mataifa huru ya Afrika mwaka 94 hukuangalia live?
Ila ndugu ishu ya shamba hata mi ilinitesa sana, weekend unatumwa shamba halafu neo kuna game basi nikijua kesho liver na man basi ntaugua magonjwa yote ilimradi nisiende shambaMkuu nilikuwa Bush huko, umeme hakuna, mpira tunaangalia kwenye banda.
Nadhani mwaka huo ITV ndo walianza kuonesha na sisi tukapata nafasi. Otherwise ligi ya Italy na German ndiyo tulikuwa tunaangalia, pia UEFA.
Man Utd walidhaminiwa na Sharp (Tv) halafu baadae Vodafone ilikuwa hatari sana huku Liverpool wakidhaminiwa na Calsberg (bia) wakiwa wadhamini wa muda mrefu sana wa Liver.
Hiyo jezi yenye nembo ya Calsberg nawakumbuka Spice Boys akina Michael Owen ( The Golden Boy ), Robbie Fowler ( God ) mashabiki wa Liverpool walimuita jina la utani Mungu. Alikuwa na kipaji kikubwa sana cha kufunga.
Halafu kuna mtu wa kuitwa Stan Collymore... we acha utani kabisaa bila kumsahau Mc Manaman. Hapo nazungumzia miaka ile ya 97 mpk 2000!
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakaja watu kama akina Aboubacar Titi Camara, huyo alikuwa Mguinea, mtukutu El Hadji Diouf, Salif Diao japo hakutamba sana, pia alikuwepo mwamba wa Finland, Sammy Happya! Bila kumsahau Mkongwe Danny Murphy.
Cc
Guasa Amboni
Mzee vitu vingi mimi na wewe tunafana kwenye soka yaani hayo mashindano ya afrika toka muda sana yamepoteza msosimuko kwenye nafsi yangu, yaani siwezi maliza game bila kusinzia bora niangalie katuni ya yugi bear kuliko hayo mashindano, nakumbuka niliacha kuangali miaka kibao nikarudi 2010 nikakuta misri anabonda wenzie nikaacha tena labda mwaka huu kwavile tumoNo, baada ya World Cup hiyo ya 94 ndipo nilianza kuruhusiwa kwenda kuangalia mpira.
Maana sehemu tulikuwa tunaangalia ni mbali na home, kwa hiyo mnaenda kikundi kama cha watu watatu na kuendelea.
Africa nimeangalia michuano ya 96 - 2008, baada ya hapo nimekuwa very selective kwenye mechi za kuangalia.
Huwezi amini toka 2014 sijaangalia hata game moja ya AFCON nikamaliza.
Mzee vitu vingi mimi na wewe tunafana kwenye soka yaani hayo mashindano ya afrika toka muda sana yamepoteza msosimuko kwenye nafsi yangu, yaani siwezi maliza game bila kusinzia bora niangalie katuni ya yugi bear kuliko hayo mashindano, nakumbuka niliacha kuangali miaka kibao nikarudi 2010 nikakuta misri anabonda wenzie nikaacha tena labda mwaka huu kwavile tumo
goli la pili hakufunga torresWe kiazi kweli tofautisha hapo goli la drogba na goli la demba ba tena torres akaja kuwapigilia msumari wa pili kocha wenu brendan rodgers
Barca na madrid sio derby, afu liverpool na Man U waga mechi mbaya hainaga ufundi yani haina radha unaweza kuangalia paka ukasinziaOne of the top rivalry in Football Sports ni North West Derby (chini hapo nakuwekea top 3 derbies of all time):
Man Utd vs Liverpool - North West Derby
Barca vs R Madrid - El Clasico
River Plate vs Boca Juniors - Superclasico
Barca na madrid sio derby, afu liverpool na Man U waga mechi mbaya hainaga ufundi yani haina radha unaweza kuangalia paka ukasinzia