Leo ndio siku sahihi kwa Manchester United kulipa kisasi kwa Liverpool

Umetaja sifa halisi za wazza (rooney )kupata wapambanaji kama wazza au effenberg au Keane watu kama Gerrard ni kazi kubwa mpaka uwe unaujua mpira ndio utawatambua michango yao. Hata baadhi ya makocha hushawishiwa kuwa na wachezaji wa aina hiyo ambao hupigania nembo ya timu muda wote.
 
Shukran mzee mwenzangu kunijumuisha hapa kiukweli pana ladha na uchungu mwingi kati ya timu hizi kwa muda wote. Historia na mafanikio yake yapo bayana manguli walipata kupitia vilabu hivi ni burudani tosha umewataja robbie na steve aaah nami nimewakumbuka akina paul parker alikuwa fullback kauzu sana kisha Liverpool walikuwa na mtu wa kuitwa Michael Thomas ilikuwa burdan kumtizama achilia mbali John burnes mtu alie kuwa unajua kabisa huyu ni mfia timu. Ladha siwezi kusema imepungua acha niishie kusema imebadilika nawapongeza wadau wote walioshiriki kutoa dondoo muhimu kabisa kuhusu u pinzani wa jadi na uchu wa mafanikio kwa vilabu hivi.
 
Na hii inamgharimu mesut ozil kila mara anaonekana hovyo japo anakipaji kizur na jicho la pekee... Kina gerrard walikuwa wanacheza hasa wakionesha kwanini nembo ya timu kwenye jezi wameweka upande wa moyo, wanacheza as if timu ni ya baba yao mzazi.
 


MacManaman nilikuwa namkubali sanaa...Walikuwepo akina Phil Neville, Gary Neville, Gigs, Wes Brown, Andy Cole, Yorky, Sheringham, Batez golikipa wa ufaransa alikuwa fire sanaa, Peter shmeichel alikuwa hana mpinzani, ole guna..ingawa Man u sikuwa naipenda na haitatokea niipende, ila walikuwa hawakamatiki.

LEEDS UNITED moja ya timu nilikuwa naipenda sana pamoja na New castle united... nawakumbuka akina Mark Viduka, Harry Kewell na Jimmy Floyd Hasselbaink huyu ashawahi kuzichezea Leeds, Atletico Madrid and Chelsea, Alan shearer, EiΓ°ur SmΓ‘ri GuΓ°johnsen is an Icelandic former professional footballer who played as a forward nilikuwa namkubali kinoma, Freddie Ljungberg ashawahi chezea Arsenal, Crespo mwajentina huyu pale chelsea alikuwa hakamatiki n.k....aise miaka imepita kamanda...
 

Kwa Man Utd ongezea Roy Keane, Irwin, Nick Butt, Beckham, Ryan Giggs, Jaap Stam, Teddy Sherringham etc.

Shida sana hawa watu.

Nasikitika Canthona nimeishia kumsikia tu, sikuwahi kumwona akicheza United.
 
Rivalry ya Man United vs Liverpool goes way back, nenda Wikipedia bosi, inagusa mpaka issues za industrialization na economic issues.

Ukiamua kusoma utaelewa, ila ukiamua kubaki na msimamo wako ni sahihi pia.

Humu JF wadau wengi wanapenda kuwa wabishi wa asili hicho kitu kipo wazi derby ni Man united na Liverpool ni kubwa sana

Mfano mdogo baada ya Man united kuwaondoa psg Steven Gerard aliojiwa na akasema wazi kwamba hakupenda Man United walivyo advance quarter final
 
We umeielewaje hio au labda me nimekosea kutafsiri


The Madrid Derby....Real Madrid vs AtlΓ©tico Madrid

For long periods, this was one of those lopsided rivalries we talked about but there are few things AtlΓ©ti fans enjoy more than getting one over on their illustrious neighbours. In the 2010’s it has been an increasingly important and even fixture with AtlΓ©tico rising to become a serious European force that has led to two Champions League Final Madrid derbies, both won in dramatic circumstances by Los Blancos. While we’d dispute the notion that this match is bigger than El ClΓ‘sico, in terms of the quality of the two teams, this is perhaps now the premier city derby in world football.




El ClΓ‘sico....Barcelona vs Real Madrid

This one doesn’t really need any introduction. It would be silly to even try and summarise the complexities and politics of the ClΓ‘sico into a short paragraph but it’s safe to say that this remains the biggest game in world football featuring the two biggest clubs on the planet. Unlike many major rivalries and derby matches, the action normally lives up to the hype with attacking football, sublime skill and several goals usually guaranteed. Tickets for this fixture don’t come cheap but if there’s one game you want to experience in your lifetime, it’s surely this one
.

Labda mimi ndie nimekosea kamanda?
 
Kwa Man Utd ongezea Roy Keane, Irwin, Nick Butt, Beckham, Ryan Giggs, Jaap Stam, Teddy Sherringham etc.

Shida sana hawa watu.

Nasikitika Canthona nimeishia kumsikia tu, sikuwahi kumwona akicheza United.

Sheringham na gigs tayari nlishawataja...yeah Beckham, Kane na stam...bila kuwasahau Paul Scholes na striker wao matata Ruud van Nistelrooy πŸ˜€


Cantona, hata mimi sikupata bahati yakumuona. Man u walikuwa na majembe bwana
....
 
Tuliaa kijanaaa unavuta Gongo au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
 
Asante mkuu
 

Watanzania asilimia kubwa tuna tatizo la kutopenda kusoma (kujiongezea knowledge) hata kama ni ya vitu vidogo. Tukishakariri kitu basi tunaendelea kubaki hivyo hivyo.

Jamaa kakopi Wikipedia kamwekea, hapo inasema Man Utd vs Liverpool ni North West Derby na ni one of the biggest football rivalry, jamaa bado anaendelea kukomaa.

Mtu kama huyo unamsaidiaje?
 
Acha kujifariji United haina Timu ya kuifunga city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…