Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Chini hapa nakuwekea top 3 the best derbies of all timeWapi ameandika Derby mkuu?
Atletico Madrid-Real Madrid= derby
Barca-Real Madrid= el classico
Boca Juniors-River Plate= Super Classico
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini hapa nakuwekea top 3 the best derbies of all timeWapi ameandika Derby mkuu?
Atletico Madrid-Real Madrid= derby
Barca-Real Madrid= el classico
Boca Juniors-River Plate= Super Classico
We umeielewaje hio au labda me nimekosea kutafsiriChini hapa nakuwekea top 3 the best derbies of all time
Umetaja sifa halisi za wazza (rooney )kupata wapambanaji kama wazza au effenberg au Keane watu kama Gerrard ni kazi kubwa mpaka uwe unaujua mpira ndio utawatambua michango yao. Hata baadhi ya makocha hushawishiwa kuwa na wachezaji wa aina hiyo ambao hupigania nembo ya timu muda wote.Bado hiyo haimfanyi kutokuwa mchezaji mzuri kwangu mimi!! Rooney hakuwa mchezaji mwenye skills nyingi km gaucho, rooney hakuwa mfungaji mzuri kama thierry henry kichogo, hakuchukua kiatu cha dhahabu ila wastani wake wa ufungaji unaridhisha, kaangalie epl kafunga goli ngapi, uefa na national team..
Yote tisa 10 sikumpendea Rooney kwa hayo, nilimpenda rooney kwa ile roho yake ngumu ya upambanaji, jinsi anavyohaha uwanja mzima, alikuwa ni mchezaji mzuri akicheza namb 10 sometimes anashuka chini anacheza km 8, anashuka anakaba, anaenda kushambulia, anapiga pasi ndefu, anapiga mashuti.. Kwake kulikuwa hakuna kitu unaweza kukikosa.
Shukran mzee mwenzangu kunijumuisha hapa kiukweli pana ladha na uchungu mwingi kati ya timu hizi kwa muda wote. Historia na mafanikio yake yapo bayana manguli walipata kupitia vilabu hivi ni burudani tosha umewataja robbie na steve aaah nami nimewakumbuka akina paul parker alikuwa fullback kauzu sana kisha Liverpool walikuwa na mtu wa kuitwa Michael Thomas ilikuwa burdan kumtizama achilia mbali John burnes mtu alie kuwa unajua kabisa huyu ni mfia timu. Ladha siwezi kusema imepungua acha niishie kusema imebadilika nawapongeza wadau wote walioshiriki kutoa dondoo muhimu kabisa kuhusu u pinzani wa jadi na uchu wa mafanikio kwa vilabu hivi.Man Utd walidhaminiwa na Sharp (Tv) halafu baadae Vodafone ilikuwa hatari sana huku Liverpool wakidhaminiwa na Calsberg (bia) wakiwa wadhamini wa muda mrefu sana wa Liver.
Hiyo jezi yenye nembo ya Calsberg nawakumbuka Spice Boys akina Michael Owen ( The Golden Boy ), Robbie Fowler ( God ) mashabiki wa Liverpool walimuita jina la utani Mungu. Alikuwa na kipaji kikubwa sana cha kufunga.
Halafu kuna mtu wa kuitwa Stan Collymore... we acha utani kabisaa bila kumsahau Mc Manaman. Hapo nazungumzia miaka ile ya 97 mpk 2000!
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakaja watu kama akina Aboubacar Titi Camara, huyo alikuwa Mguinea, mtukutu El Hadji Diouf, Salif Diao japo hakutamba sana, pia alikuwepo mwamba wa Finland, Sammy Happya! Bila kumsahau Mkongwe Danny Murphy.
Cc
Guasa Amboni
Na hii inamgharimu mesut ozil kila mara anaonekana hovyo japo anakipaji kizur na jicho la pekee... Kina gerrard walikuwa wanacheza hasa wakionesha kwanini nembo ya timu kwenye jezi wameweka upande wa moyo, wanacheza as if timu ni ya baba yao mzazi.Umetaja sifa halisi za wazza (rooney )kupata wapambanaji kama wazza au effenberg au Keane watu kama Gerrard ni kazi kubwa mpaka uwe unaujua mpira ndio utawatambua michango yao. Hata baadhi ya makocha hushawishiwa kuwa na wachezaji wa aina hiyo ambao hupigania nembo ya timu muda wote.
Man Utd walidhaminiwa na Sharp (Tv) halafu baadae Vodafone ilikuwa hatari sana huku Liverpool wakidhaminiwa na Calsberg (bia) wakiwa wadhamini wa muda mrefu sana wa Liver.
Hiyo jezi yenye nembo ya Calsberg nawakumbuka Spice Boys akina Michael Owen ( The Golden Boy ), Robbie Fowler ( God ) mashabiki wa Liverpool walimuita jina la utani Mungu. Alikuwa na kipaji kikubwa sana cha kufunga.
Halafu kuna mtu wa kuitwa Stan Collymore... we acha utani kabisaa bila kumsahau Mc Manaman. Hapo nazungumzia miaka ile ya 97 mpk 2000!
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakaja watu kama akina Aboubacar Titi Camara, huyo alikuwa Mguinea, mtukutu El Hadji Diouf, Salif Diao japo hakutamba sana, pia alikuwepo mwamba wa Finland, Sammy Happya! Bila kumsahau Mkongwe Danny Murphy.
Cc
Guasa Amboni
MacManaman nilikuwa namkubali sanaa...Walikuwepo akina Phil Neville, Gary Neville, Gigs, Wes Brown, Andy Cole, Yorky, Sheringham, Batez golikipa wa ufaransa alikuwa fire sanaa, Peter shmeichel alikuwa hana mpinzani, ole guna..ingawa Man u sikuwa naipenda na haitatokea niipende, ila walikuwa hawakamatiki.
LEEDS UNITED moja ya timu nilikuwa naipenda sana pamoja na New castle united... nawakumbuka akina Mark Viduka, Harry Kewell na Jimmy Floyd Hasselbaink huyu ashawahi kuzichezea Leeds, Atletico Madrid and Chelsea, Alan shearer, Eiður Smári Guðjohnsen is an Icelandic former professional footballer who played as a forward nilikuwa namkubali kinoma, Freddie Ljungberg ashawahi chezea Arsenal, Crespo mwajentina huyu pale chelsea alikuwa hakamatiki n.k....aise miaka imepita kamanda...
Rivalry ya Man United vs Liverpool goes way back, nenda Wikipedia bosi, inagusa mpaka issues za industrialization na economic issues.
Ukiamua kusoma utaelewa, ila ukiamua kubaki na msimamo wako ni sahihi pia.
We umeielewaje hio au labda me nimekosea kutafsiri
Kwa Man Utd ongezea Roy Keane, Irwin, Nick Butt, Beckham, Ryan Giggs, Jaap Stam, Teddy Sherringham etc.
Shida sana hawa watu.
Nasikitika Canthona nimeishia kumsikia tu, sikuwahi kumwona akicheza United.
Tuliaa kijanaaa unavuta Gongo au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]Acha urongo, Man. Utd hakuwa kwenye posibility yoyote ya kupata ubingwa kwa msimu huo. Possibility pekee ilikuwa ni ama kwa Man. City ama Liverpool. Na kusema ukweli Gerard aliichoma Liverpool kuliko timu nyingine yoyote. Lakini pia man. Utd kwa sasa hana uwezo wowote wa kuifunga timu yoyote iliyo top six na kwa hivyo asitafute kisingizio eti atafungwa kwa makusudi ili kuwakomoa Liver, atafungwa ni vile hana uwezo.
Asante mkuuShukran mzee mwenzangu kunijumuisha hapa kiukweli pana ladha na uchungu mwingi kati ya timu hizi kwa muda wote. Historia na mafanikio yake yapo bayana manguli walipata kupitia vilabu hivi ni burudani tosha umewataja robbie na steve aaah nami nimewakumbuka akina paul parker alikuwa fullback kauzu sana kisha Liverpool walikuwa na mtu wa kuitwa Michael Thomas ilikuwa burdan kumtizama achilia mbali John burnes mtu alie kuwa unajua kabisa huyu ni mfia timu. Ladha siwezi kusema imepungua acha niishie kusema imebadilika nawapongeza wadau wote walioshiriki kutoa dondoo muhimu kabisa kuhusu u pinzani wa jadi na uchu wa mafanikio kwa vilabu hivi.
Humu JF wadau wengi wanapenda kuwa wabishi wa asili hicho kitu kipo wazi derby ni Man united na Liverpool ni kubwa sana
Mfano mdogo baada ya Man united kuwaondoa psg Steven Gerard aliojiwa na akasema wazi kwamba hakupenda Man United walivyo advance quarter final
Sheringham na gigs tayari nlishawataja...yeah Beckham, Kane na stam...bila kuwasahau Paul Scholes na striker wao matata Ruud van Nistelrooy 😀
Cantona, hata mimi sikupata bahati yakumuona. Man u walikuwa na majembe bwana....
Acha kujifariji United haina Timu ya kuifunga cityMsimu wa 2009/2010 nahodha wa liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema
"Nina jezy za timu zote epl kasoro ya Manchester united"
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Video ya Gelard akichoma kwa makusudi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Soka Football Central on Instagram: "Msimu wa 2009/2010 nahodha wa @liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya @chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema "Nina jezy za timu
19 likes, 1 comments - soka_app on April 24, 2019: "Msimu wa 2009/2010 nahodha wa @liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya @chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema "Nina jezy za timu zote #epl kasoro ya Manchester...www.instagram.com
Leeds anaendeleaje sijui, around Feb alikuwa ana dalili za kuweza kupanda EPL.
Walianza vizuri, Juzi tena walifungwa na Brentford, na msimamo wao uko 👇
View attachment 1080777
Kutoboa ni changamoto hapo, maana anaingia kwenye playoffs.
Barca na madrid sio derby, afu liverpool na Man U waga mechi mbaya hainaga ufundi yani haina radha unaweza kuangalia paka ukasinzia