Ukiskia shogaako anaetaka mwendeshaNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Aisee....!Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Kwani kuna gari zinapita jangwani?Wale wa vitz, Felder,Mazda
Kama nawaona mnavokwepa
Morogoro road maeneo ya magomen
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Baada ya hz. Mvua lazma warudieKwani kuna gari zinapita jangwani?
Kwa mujibu wa TMA mvua inanyesha sehemu kubwa ya nchi. Kama mvua haina athari kwako thread hii haikuhusu,pita tu.Hivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....
Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...
Unapotoa habari kua specific
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Leo wenye magari watapata sana warembo. Gesti mauzo juuHii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele