Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?

Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
 
Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa

Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn

IMG-20180412-WA0003.jpg
 
Wale wa vitz, Felder,Mazda

Kama nawaona mnavokwepa
Morogoro road maeneo ya magomen
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Hivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....

Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...

Unapotoa habari kua specific
 
Kwa mujibu wa TMA mvua inanyesha sehemu kubwa ya nchi. Kama mvua haina athari kwako thread hii haikuhusu,pita tu.
 
Na Land Rover 109 v8 langu sina habari.Kuna sehemu nawaonea huruma wenye vitz,ist na passo wanapata tabu kweli.
Jana niliamua kutoa msaada wa kuvuta hayo magari tena navuta gari mbili kwa mpigo.Kuna kamlima kana udongo wa mfinyanzi halafu pamechimbika.
 
Back
Top Bottom