Dude...you are taking this issue soooo serious....we are in chit chat forumWell...inatokea ndiyo,kama amejenga nyumba nzuri hiyo nyumba ataipangisha kisha yeye ataenda kupanga sehemu nyengine nyumba ya bei rahisi kidogo salio litakalobaki ataendeshea maisha{hii nishawahi kuishuhudia kwa jamaa yangu baada ya kuyumba kimaisha}.
Tu-assume huyu mwajiriwa anamiliki mfano Toyota Kluger na akaigeuza Uber siku bahati mbaya akapata mzinga akavunja taa moja haitamtoka chini ya 400K kwa headlight moja sasa si faida ya mwezi mzima?Kwa mtazamo wangu huwezi kuzifananisha hizi assets mbili.
Moja inabidi kila wakati utoe pesa mfukoni kuihudumia ambapo hii ni kama hasara hali yakuwa nyengine inajihudumia yenyewe.
Aisee....!Hapana nimeweka four wheel na gia nimeweka L lakini wapi... Kuna mkono wa mtu sasa subiri... Imagine ofisini nitaendaje kwa hali hii[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] akuanzaye mmalizeView attachment 746168
Dah hapana aisee sio poa...Hapana nimeweka four wheel na gia nimeweka L lakini wapi... Kuna mkono wa mtu sasa subiri... Imagine ofisini nitaendaje kwa hali hii[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] akuanzaye mmalizeView attachment 746168
Ah!!!sikujua aisee ila fresh mkuu tumejaribu kupeana elimu.Dude...you are taking this issue soooo serious....we are in chit chat forum
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115]Kunywa maji kidogo mkuu.
NOT ONLY WAREMBO BUT ALSO NGOMA,Nimekazia tuLeo wenye magari watapata sana warembo. Gesti mauzo juu
Haiwezekani tope halijafikia hata rim? Kuna mkono wa mtu hapoNimekwamaaView attachment 746162
hahahahahahaahahahMkuu toka uvute ile VW wasio na magari hawalali kila siku mbili unawapiga vijembe
Lisalimie gari lako.
Mjuaji mmoja kaja kaweka rivasi kaipa mafuta bila kuniambia... Diff zote zimekaa sasa na mimi ndio kama hivyoAisee....!
Upande wa kulia, angalia jinsi ilivyonyanyuka hapo... Nitamtoa mtu mshipa wallahHaiwezekani tope halijafikia hata rim? Kuna mkono wa mtu hapo
hahaha pole sanaHapana nimeweka four wheel na gia nimeweka L lakini wapi... Kuna mkono wa mtu sasa subiri... Imagine ofisini nitaendaje kwa hali hii[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] akuanzaye mmalizeView attachment 746168
Oh kumbe imekaa upande wa kulia! PoleUpande wa kulia, angalia jinsi ilivyonyanyuka hapo... Nitamtoa mtu mshipa wallahView attachment 746174
Subiri nirejee Msata kilingenihahaha pole sana
Kuendelea kupanga ni utumwa, fight!Stress za mwezi wa kodi si unazijua lakini?
[emoji122][emoji122][emoji122]Dude...you are taking this issue soooo serious....we are in chit chat forum
hahaha mm nabaki nashanga aseeAisee jamaa kapaniki!