Well...inatokea ndiyo,kama amejenga nyumba nzuri hiyo nyumba ataipangisha kisha yeye ataenda kupanga sehemu nyengine nyumba ya bei rahisi kidogo salio litakalobaki ataendeshea maisha{hii nishawahi kuishuhudia kwa jamaa yangu baada ya kuyumba kimaisha}.
Tu-assume huyu mwajiriwa anamiliki mfano Toyota Kluger na akaigeuza Uber siku bahati mbaya akapata mzinga akavunja taa moja haitamtoka chini ya 400K kwa headlight moja sasa si faida ya mwezi mzima?Kwa mtazamo wangu huwezi kuzifananisha hizi assets mbili.
Moja inabidi kila wakati utoe pesa mfukoni kuihudumia ambapo hii ni kama hasara hali yakuwa nyengine inajihudumia yenyewe.