Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Kwa hiyo sisi tusio na magari hatuna haki ya kuoa?
Demiss tuombe radhi[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji123] [emoji109] [emoji109]
Mweeeeh ukija na gari mbn nitaombaa tu radhi mambo mengine tusameheane tu wanduguuu

Demiss Magari
 
Hahahaaa!
Tena koti la kijani na buti za kijani.
Ila tuache utani hutu tugari twingine twa kutumbukia unaweza kuwa sawa na mtembea kwa miguu maana kuna sehemu ukifika inabidi ugeuze la sivyo unaweza kushtuka maji yako ndani au kimezima katikati ya dimbwi
 
Kabisa, mtu uko katika starlet, passo, vits etc lazima uchunge barabara unayoelekea au kila dereva wa bodaboda unayepishana nae unamuuliza huko vipi??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sasa mme wangu na wewe si umekwamaa utafika ofisn umechafuk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ungepaaa na ungo tu baeeeeee
 
Ila tuache utani hutu tugari twingine twa kutumbukia unaweza kuwa sawa na mtembea kwa miguu maana kuna sehemu ukifika inabidi ugeuze la sivyo unaweza kushtuka maji yako ndani au kimezima katikati ya dimbwi
Acha utani na team vitz, ist, starlet, march na jamii zake. Mkuu wenzako wanainjoi jiji ila tu kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…