barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hahahaaa!Kama unaenda vitani....
Tena koti la kijani na buti za kijani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!Kama unaenda vitani....
Wote wanataka mandingaaa hawatak hayo Mangalangala Hata STL tunavumiliaUkiskia shogaako anaetaka mwendesha
Tractor uniambie
Hii yang hata jangwaaaan inapta
YeaaaaaahAisee....!
Lift hawatoi leoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ili mradi usafirrr tuuu hata STL tunapandaaaaToyota kwenye dash board wamezingua sana..
Nyingi sana maana hata kuku tunamgeuzaa BMWMshana ana Gari ngapi?
Sinaga habari dada msema kweli mpenzi wa MunguHahahaha yaan wewe
Du ngoja na mimi niwashe trooper langu nikamfate bebi wangu, aweke miguu Kwenye dashboard, raha jamani mwe.
Ukikaaa pemben unamchek kama hiviiiMnyama huyu Harrier old model sio mchezo
Chombooo kimetuliaaaaaaDashboard ya Harrier tamuu
Dar hiyo hakuna handsome wallah nn ni blaaa blaaaaaahahaha[emoji23][emoji28][emoji23]
Mweeeeh ukija na gari mbn nitaombaa tu radhi mambo mengine tusameheane tu wanduguuuKwa hiyo sisi tusio na magari hatuna haki ya kuoa?
Demiss tuombe radhi[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji123] [emoji109] [emoji109]
Wewe kibarakaaa acha povuuuuuuSasa hiyo nayo ni gari au uchafu wa gari wakisema wapite wenye magari mumeo atapita
Ila tuache utani hutu tugari twingine twa kutumbukia unaweza kuwa sawa na mtembea kwa miguu maana kuna sehemu ukifika inabidi ugeuze la sivyo unaweza kushtuka maji yako ndani au kimezima katikati ya dimbwiHahahaaa!
Tena koti la kijani na buti za kijani.
Witty utakuwa unapenda sana mkoko[emoji16][emoji16][emoji16]Umenena mkuu...bongo kuwa na gari we ni tajiri[emoji15]
Kabisa, mtu uko katika starlet, passo, vits etc lazima uchunge barabara unayoelekea au kila dereva wa bodaboda unayepishana nae unamuuliza huko vipi??Ila tuache utani hutu tugari twingine twa kutumbukia unaweza kuwa sawa na mtembea kwa miguu maana kuna sehemu ukifika inabidi ugeuze la sivyo unaweza kushtuka maji yako ndani au kimezima katikati ya dimbwi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huu
Ngoja nije na hii ndigaaa baeeee usjaliiNimekwamaaView attachment 746162
Acha utani na team vitz, ist, starlet, march na jamii zake. Mkuu wenzako wanainjoi jiji ila tu kipindi hiki.Ila tuache utani hutu tugari twingine twa kutumbukia unaweza kuwa sawa na mtembea kwa miguu maana kuna sehemu ukifika inabidi ugeuze la sivyo unaweza kushtuka maji yako ndani au kimezima katikati ya dimbwi
Ha ha ha ukikuta watu pembeni ya dimbwi unawasalimia kwa adabu unawauliza hapa vipi..unaambiwa pita pembenipembeni kaka!Kabisa, mtu uko katika starlet, passo, vits etc lazima uchunge barabara unayoelekea au kila dereva wa bodaboda unayepishana nae unamuuliza huko vipi??