Mmmh!Dar hiyo hakuna handsome wallah nn ni blaaa blaaaaaaView attachment 746221
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mme wangu nunua Gredaaaa tu hutakwamaaa popoteHapana nimeweka four wheel na gia nimeweka L lakini wapi... Kuna mkono wa mtu sasa subiri... Imagine ofisini nitaendaje kwa hali hii[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] akuanzaye mmalizeView attachment 746168
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Upande wa kulia, angalia jinsi ilivyonyanyuka hapo... Nitamtoa mtu mshipa wallahView attachment 746174
Hahahaaaa!Ha ha ha ukikuta watu pembeni ya dimbwi unawasalimia kwa adabu unawauliza hapa vipi..unaambiwa pita pembenipembeni kaka!
Eeh, ukitutania unatuvunja moyo aisee. Huenda siku moja tukamiliki mikoko ya maana, ila bwana kwa Dar wakati hata ukiwa na gari kubwa, ni bure tu.Hata mimi siwacheki mkuu...natumbukia badala ya kupanda gari!
Kwanini isiwe 'wadada pambaneni na waume zenu mnunue gari'?Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Mbn wagunaaaaMmmh!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yote sawaa tuKwanini isiwe 'wadada pambaneni na waume zenu mnunue gari'?
SijaelewaMbn wagunaaaa
Vipi kwa sisi wenye magari na nyumba nyingi? Sasa anayemilimi kiPasso si sawa tu na mwenda kwa miguu? Maana naona vinazimika njiani na vingine vinazama kabisaHii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
NnSijaelewa
Upo wapi ww
Teh teh tehNa Land Rover 109 v8 langu sina habari.Kuna sehemu nawaonea huruma wenye vitz,ist na passo wanapata tabu kweli.
Jana niliamua kutoa msaada wa kuvuta hayo magari tena navuta gari mbili kwa mpigo.Kuna kamlima kana udongo wa mfinyanzi halafu pamechimbika.
Uliyemuona hapaaaa ndo mm nipoooUpo wapi ww