Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Hapana nimeweka four wheel na gia nimeweka L lakini wapi... Kuna mkono wa mtu sasa subiri... Imagine ofisini nitaendaje kwa hali hii[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] akuanzaye mmalizeView attachment 746168
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mme wangu nunua Gredaaaa tu hutakwamaaa popote
 
Acha utani na team vitz, ist, starlet, march na jamii zake. Mkuu wenzako wanainjoi jiji ila tu kipindi hiki.
Hata mimi siwacheki mkuu...natumbukia badala ya kupanda gari!
 
Nimefurahi hii vita ya wanaume leoooo

Meno yote 32 njeeeee ngoja niendeleee kuenjoy
image_search_1523721419337.jpg
 
Hata mimi siwacheki mkuu...natumbukia badala ya kupanda gari!
Eeh, ukitutania unatuvunja moyo aisee. Huenda siku moja tukamiliki mikoko ya maana, ila bwana kwa Dar wakati hata ukiwa na gari kubwa, ni bure tu.
 
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?

Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Vipi kwa sisi wenye magari na nyumba nyingi? Sasa anayemilimi kiPasso si sawa tu na mwenda kwa miguu? Maana naona vinazimika njiani na vingine vinazama kabisa
 
Na Land Rover 109 v8 langu sina habari.Kuna sehemu nawaonea huruma wenye vitz,ist na passo wanapata tabu kweli.
Jana niliamua kutoa msaada wa kuvuta hayo magari tena navuta gari mbili kwa mpigo.Kuna kamlima kana udongo wa mfinyanzi halafu pamechimbika.
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom