Sasa utapita hapo wewe chizi? Unazunguka tu, barabara nyingine hata lori halipiti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiskia shogaako anaetaka mwendesha
Tractor uniambie
Hii yang hata jangwaaaan inapta
Haa haa haa hii inaitwaumejeua kunichekesha hahahaahaha na baridi hili i needed some gud laugh
Life is too short...ndio maana tupo jukwaa la chit chat.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ule mlango wa gunia itabidi tu ufunge mwamvuli ndiyo uingie.Si unaingia na mwamvuli
Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Mnyama huyu Harrier old model sio mchezoNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo ww nn nianze kuandaa
ng'ombe za baba mkwe
Nna ka vitz hapa utakubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu tafuta gari, achana na hicho kifaa cha shambani
Hivi mwenye mshahara wa laki tatu na anapanga nyumba vyumba viwili na ana watoto wanasoma anaweza kumudu gari? Nisaidie mchanganuo ili kesho nilitafute mvua zikikatika.eee kweli kabisa gari muhimu sana kwa dunia ya leo,
hakunaga mwarabu,mhindi asiye na ka gari, hata awe masikini vipi, lazima kwa nje kuna ka usafiri, uwe wa zaman ama wa kisasa,,
gari mhimu
Mkataba unaweza kuvunjwa ukarudishiwa vihela vyako na hela ya kuvunja mkataba ambayo hua ni kodi ya mwezi mmojaNimenunua nyumba kwa miezi 12(nimelipa kodi ya mwaka)