hahaha kwahiyo mafuriko aliyapata nuhu na familia yake tu.....asee[emoji23][emoji28][emoji23]Hivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....
Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...
Unapotoa habari kua specific
Wamehama barabarahahaha
Kiupendo[emoji28] [emoji28] Kinini hicho?
Kwa hiyo sisi tusio na magari hatuna haki ya kuoa?Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
EwaaahHee hee kweli hii
Kali
Ngoja ni import ikifka tu bandarin
Nije tukaichukue
hahaha naona punch nikuPunch....saafi kabisaMwenye gari anaepambana kwenye foleni ili awahi kwa mwajiri wake kumfanyia kazi ili apate kodi ya kulipa nyumba na mwenye nyumba aliyejiajiri ameamua kulala tu leo maana hakuna anaempangia shughuli zake yupi ana maisha?
Ngoja hizo Passo na Vitz zenu ziingie maji kwenye engine zizime halafu mchelewe makazini kama hamkukutana na barua za kupumzishwa kazi kama sio kufukuzwa kazi kwa uzembe.
Hee hee mwamke unajua bajetEwaaah
Hayo ndio maneno sasa, trekta tutaipeleka shambani ikapige kazi alafu vitz tutaitumia kiangazi [emoji28][emoji28]
Mzee nimezungumzia wale waliojiajiri nisome vizuri.What if mwenye Nyumba nae kaajiriwa
Msimu wao huuuMsimu huu ukimshauri baba avute ndinga ya kueleweka anakuelewa
.......Hawa jamaa wanazingua sana mwanangu.hahaha naona punch nikuPunch....saafi kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwakweli na huu ndio wakati wa kuzungumza nao vizuri. Maana hii mvua inawashushia hadhi kabisa.Msimu huu ukimshauri baba avute ndinga ya kueleweka anakuelewa
[emoji23][emoji28][emoji23]Na usiku ukiingia ndo utakua umuhimu wa baba mwenye nyumba sasa
Kule watu wanapenda kuvuruga lakini shida ni kwamba ni gharama sana kuishi....Kumepangwa kukapangika. Hamna aliekuja akavuruga. Standard maintained.
Kwani kila mwenye nyumba anamiliki zaidi ya nyumba moja? Ni wazi hapa anazungumzia mwenye nyumba mojaMzee nimezungumzia wale waliojiajiri nisome vizuri.
Ila kama naye kaajiriwa hata akichelewa kazini akafukuzwa au kupumzishwa kazi bado ana advantage kubwa ya kuishi town maana ataishi kwa kutegemea kodi atakazowatoza wapangaji wake huku akitafuta kazi nyengine tofauti na ambae ni mpangaji maana kazi hana atatoa wapi hela ya kulipa nyumba?