Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Hivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....

Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...

Unapotoa habari kua specific
hahaha kwahiyo mafuriko aliyapata nuhu na familia yake tu.....asee[emoji23][emoji28][emoji23]
 
Mkuu, tena kwa jiji la Dar unaweza kuacha gari nyumbani siku kama ya leo. Kuna maeneo mengi leo njia zimefungwa, gari hazipiti.
Ujanja pia ni kujua unapoishi na tabia za barabara kulingana na weather.
 
Mwenye gari anaepambana kwenye foleni ili awahi kwa mwajiri wake kumfanyia kazi ili apate kodi ya kulipa nyumba na mwenye nyumba aliyejiajiri ameamua kulala tu leo maana hakuna anaempangia shughuli zake yupi ana maisha?

Ngoja hizo Passo na Vitz zenu ziingie maji kwenye engine zizime halafu mchelewe makazini kama hamkukutana na barua za kupumzishwa kazi kama sio kufukuzwa kazi kwa uzembe.
hahaha naona punch nikuPunch....saafi kabisa
 
What if mwenye Nyumba nae kaajiriwa
Mzee nimezungumzia wale waliojiajiri nisome vizuri.
Ila kama naye kaajiriwa hata akichelewa kazini akafukuzwa au kupumzishwa kazi bado ana advantage kubwa ya kuishi town maana ataishi kwa kutegemea kodi atakazowatoza wapangaji wake huku akitafuta kazi nyengine tofauti na ambae ni mpangaji maana kazi hana atatoa wapi hela ya kulipa nyumba?
 
Kwani kila mwenye nyumba anamiliki zaidi ya nyumba moja? Ni wazi hapa anazungumzia mwenye nyumba moja
 
Back
Top Bottom