witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Bora gari asee..kuna mtu analala nje?Muhimu ni kuwa baba mwenye gari na baba mwenye nyumba, hii mvua unapaki gari ccm unatembea hadi home ni heri tu kuwa both.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora gari asee..kuna mtu analala nje?Muhimu ni kuwa baba mwenye gari na baba mwenye nyumba, hii mvua unapaki gari ccm unatembea hadi home ni heri tu kuwa both.
Mjini mipango....sio gari tu hata nyumba anajenga wakati mwenye mshahara 2m analia haumtoshi.Hivi mwenye mshahara wa laki tatu na anapanga nyumba vyumba viwili na ana watoto wanasoma anaweza kumudu gari? Nisaidie mchanganuo ili kesho nilitafute mvua zikikatika.
Bwahahahah!Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Haaa haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...cheer up mkuuWiti wanasingizia..
Sijawahi sema kua nina gari mm humu..
Kwa faida ya nani?
Umeongea cha maana sana.Mwenye gari anaepambana kwenye foleni ili awahi kwa mwajiri wake kumfanyia kazi ili apate kodi ya kulipa nyumba na mwenye nyumba aliyejiajiri ameamua kulala tu leo maana hakuna anaempangia shughuli zake yupi ana maisha?
Ngoja hizo Passo na Vitz zenu ziingie maji kwenye engine zizime halafu mchelewe makazini kama hamkukutana na barua za kupumzishwa kazi kama sio kufukuzwa kazi kwa uzembe.
Muhimu ni kuwa baba mwenye gari na baba mwenye nyumba, hii mvua unapaki gari ccm unatembea hadi home ni heri tu kuwa both.
Kuhama hama nako nishida hiyoNyumba kama ina shida una hama tu
Huo ni wizi siyo mipango. Huwezi kuwa credible na mshahara huu ukamiliki gari au ukajenga. Hongera mwenzetu.Mjini mipango....sio gari tu hata nyumba anajenga wakati mwenye mshahara 2m analia haumtoshi.
Stress za mwezi wa kodi si unazijua lakini?Bora gari asee..kuna mtu analala nje?
Unalipa mwaka huku ukiendelea kudunduliza...sasa hii mvua unafanyaje kwa mfano?Stress za mwezi wa kodi si unazijua lakini?
Haiji ghafla lakini ikija stress haziishi nakuambia, 250-500kpm kwa mwaka mzima kama tu kuna sehemu ulikosea kudunduliza, utaomba poo, tena ukutane na landlord mkali.Kodi haiji ghafla....
Ndo maana utusaidie mawazo sisi tulioajiriwa na tunategemea mshahara tu ili tujue mbinu. Ni ombi tu.Sio wizi ni mipango tu..mshahara haujawahi kumtosha mtu. This aint about me.