Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

Hii nguo niliyovaa sidhani kama paroko ataniruhusu kuingia kanisani. Imekaa kimbinguni sana. Ngoja nifanye kupanga magari huku nje.

Kaka hongera sana. Wifi karibu utuletee tiba familia nzima.
 
Back
Top Bottom