Party saa ngapi tujipange jaman!
bwana harusi nashkuru sana kwa mualiko wako
Kwanini tena Evelyn Salt? Waambie pia kina Maria Roza Funza dume Katavi Vin Diesel Mwanyasi Passion Lady sweetlady FirstLady1 charminglady WABHEJASANA waje.
hebu kwanza taja lokesheni kamati ya protokali imeandaa helikopta za kubeba wahudhuriaji kuja hapa mjengoni...
Nimesikia sikia eti kuna watu humu wanaoa wake za watu..........................
Ntakuambia tu shemeji!!!!!!!!
niko palepale uliponipea simu siku ileee....
teh teh usijali...muda ukifika tamtuma dereva aje akupick...
Teh teh usijali...muda ukifika tamtuma dereva aje akupick...
Kwanini tena Evelyn Salt? Waambie pia kina Maria Roza Funza dume Katavi Vin Diesel Mwanyasi Passion Lady sweetlady FirstLady1 charminglady WABHEJASANA waje.
mwambie aschelewe mana leo jmosi ujue!! Full mitoko, ngoja niwahi saloon mie lol!
Nakuaminia ba'mkwe.
kumbuka ni helikopta ndio yaja sio gari...wahi saluni bi mkubwa wakurembe
mmmmh! Helikopta! Lol! Kweli upele umepata mkunaji....
hujawahi panda kwani...